Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wanajamvi chekini majina hapo wenye bahati mkafanye yenuuuuuuuuuuuuuuuu,ila mbona ACCOUNTANT WAJAITA?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
TANGAZO LA KAZI Mkurugenzi wa Halmashaya Maji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa mtanzania yeyote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba kujua anebadilisha kazi kwa mwajiriwa wa halmashauri ni nani ? Mfano mi nilikua mwalimu msingi, nikienda masomoni degree ya education management, nimerud but kazi ya kufundisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu ndugu zanguni. naomben mnishauri upatikanaji wa ajira kuhus hii course ya law, nataka ni apply mwakani. vp ntazunguka sana na bahasha au ajira zipo zipo maana nimeskia hii coz kidogo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
msaada wana jamvi naomben msaada kwa anaejua mtu au sehem ambapo wanatoa mkopo kwa riba
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Ndugu zangu wana JF, Mimi nimehitimu Stashahada ya MATUMIZI YA ZANA KATIKA KILIMO (AGRO-MECHANIZATION) toka Chuo cha Kilimo, na bado sijaajiriwa. Kwaiyo naombeni msaada wenu ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahudumu wa baa wanahitajika. Wahudumu wenye uzoefu kazi ya kuhudumia baa ya kisasa wahitajika. Mwombaji awe na angalao elimu ya kidato nne na kuendelea, awe mchangamfu, nathifu na mwenye uwezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It is announced that a manager with experience and qualification to manage a new complex of entertainment facility including a modern pub, lounge, night club and a lodge is urgently required. As...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
New restaurant is looking for two waitresses or waiters must fluent in English plus basic of hotel management and manage to work out of town .hotel is located outside of arusha town.call 0762 707073
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za nelo waungwana japo ucku mwangaruka bankima na bagosha....kama we ni kidato cha nne au cha sita bac magereza hao wameachia nafasi unaapply vp we zama moha.go.tz
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Taratibu, Vigezo, Weledi, Uwezo kiutendaji Na mengie Ya kuzingatia ILI kujinga na HII taasisi vinahitajika. Mimi NI mpinga rushwa Na mchukia rushwa mkubwa sana. Nijuzeni utaratibu wa kujiunga...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wakuu naomba kujuzwa hivi kwa GPA ya 2.7 mtu anaweza kuajiriwa kwenye tume ya utumishi au kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali?
1 Reactions
70 Replies
15K Views
Wandugu utumishi wametoa hizo nafasi za watendaji wa mtaa daraja la pili. Ninaomba kwa aliyewahi fanya intervieew atunipe baadhi ya maswali au maswali yao yanabase kwenye nyanja gani haswa. Ahsante
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Habari wanajamvi. Nilikuwa mwajiriwa wa katika sekta ya elimu kwa muda wa miaka saba then baada ya kujiendeleza nikahamishia ajira yangu kwenye moja ya taasisi za serikali ila sasa nataka kurudi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF.. Mimi ni kijana (me) mwenye umri wa miaka 25. Elimu yangu ni kidato cha 6 (PCB).. Nmehitimu mafunzo ya JKT (mujibu wa sheria).. natafuta kazi yoyote ile (kufundsha, kilimo...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Afrika Kusini ni mojawapo ya nchi zilizoendelea kwa sekta ya viwanda duniani. Kwa ninavyofahamu miaka ya nyuma vijana wengi walikuwa wanakwenda tafuta ajira huko. Naomba uliza je kwa sasa nafasi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi wadau, Muhitimu wa degree natafuta shirika lolote la msaada (hasa linalohusika na mambo ya wanawake au watoto) ninaloweza kufanya kazi za kujitolea. Tatizo huwa pale ambapo hata unapojaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YOUTH IMPACT FUND INTERNATIONAL – TANZANIA Youth Impact Fund International is an international not for profit Organization with a sole aim to develop and transform Youth as drivers of change and...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza elimu ya Secondary mwaka 2012. Mimi ni mchapa kazi na mtiifu sana.Ninatafuta mtu yeyote mwenye kuhitaji kijana wa kazi ya kuuza duka lolote la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wapendwa mimi ni mtaalam wa kutengeneza garden kwa anaehitahiji huduma hio tuwasiliane 0769 269630 au ani PM asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom