Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Click the link below...Mimi Jay Blog
0 Reactions
0 Replies
932 Views
tembelea website yao utayaona, kila la kheri kwa walioitwa!!
1 Reactions
23 Replies
22K Views
Nina miezi 3 toka nianze kazi na hii kampuni X ya wazungu wajerumani. Niko kwenye probabtion ya miezi 6 nalipwa mshahara wa kati tu waku niwezesha kubadili mboga. Nili pata email kua nahitajika...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
wanahitajika vijana wawili wa jinsia ya kiume ambao wamehitimu elimu ya kidato cha nne na wenye umri wa miaka 20-25
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni na pilika za wiki jana,hatmae tena leo ni wiki mpya muhimu sana kwa watz wnzng kutimza haki yao ya musingi, naomba msaada wenu wanajamvi wnzng tuloomba nafasi za kazi tanroads...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wana Jf kama uliomba post za BOT Bank officer jamaa wametoa notification kwenye email zenu embu cheki November 2 kitahappen
0 Reactions
12 Replies
4K Views
kama kuna walioitwa wizara ya mambo ya ndani ukonga wanipe link ya majina ,nimepigiwa simu kwenye daladala sasa sikumbuki tena. nijulisheni.niliomba post ya it wakasema jumanne ila hata eneo silijui
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huko nyuma nadhani mwezi 1 au miezi 2 hivi niliwahaki kutuma maombi ya kazi mahala na kusema kweli sasa hata sikumbuki ilikuwa ni ofisi au taasisi gani ila leo muda si mrefu nimetoka kupokea kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 18 natafuta kaz kwenye ofisi au stationary yoyote kwani nina uwezo wa kutumia computer bila wasiwasi kwa makazi napatikana daresalaam contact zangu ni 0717047978...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman naomba msaada kuhusu pande hizo mbili,,mimi nimehitimu shahada ya uhasibu,lkn kutokana na tatizo la ajira nimefikilia kwenda ualimu,,ualimu wa diploma masomo ya sayans wanatoa mkopo,ila...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
The computer Training Skills (Comskills) is the registered company,provides Consulting Services and Training in Tanzania. We specialize in Short & Professional Training Course and Customized...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kazi kwa anayehitaji Kazi: Kuendesha na kusimamia biashara. Bidhaa zinazouzwa: Mojawapo ya bidhaa za chakula kutoka shambani Uuzaji: Kwa jumla na reja reja Eneo la biashara: Gongo la mboto...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Job Description: SimGas Ltd is looking for Business Development interns to join the SimGas team. The role will be responsible for providing support in the creation and execution of business...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anahitajika dereva wa bodaboda wa kike au wa kiume kwa maeneo ya dar es salaam. Sifa za mwombaji awe na familia ( yaani asiwe single), awe na leseni, pia awe timamu kiakili. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/81 15 Oktoba, 2015 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa wale ambao tulifanya usaili (written interview) pale Ardhi University siku ya j4 tarehe 13 vp bado hawajatoa majina waliyopita kwenda second round ambayo ni Oral interview yeyote ambaye ana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nilichokiona kwenye huu mtihani naona mtunzi alikua na lengo la kutukomoa tulioitwa kwa usaili. Kuanzia swali la kwanza mpaka la mwisho hakuna penye unafuu.Kwa staili hii kweli watoto...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari za usiku ndugu zangu. Kuna kazi niliomba majibu yametoka kuwa nime kuwa shortlisted ila nijaze fomu flani wamenituma kisha niambatanishe na General Intelligence aptitude (GIA) test...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama wewe ni kijana na hauna kazi yyot y kuingza kipato na hauchagui kazi karb nikupatie fursa bila kujari elimu yako wala umr wako p
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbeya Water Supply and Sanitation Authority (Mbeya WSSA) is now inviting applications from suitably qualified and self-motivated Tanzanians of high personal integrity to apply for the following...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom