Money

Aug 31, 2012
12
0
Kama unahitaji kupata malipo kwa mtandao fungua hii link then fuata maelekezo ni rahisi sana na unaweza usiamni unaweza pata mpaka $1000 Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
 
Ndo maana ikaitwa work for jobless people. Watangazie wenzako wapige hela wee utaishia kuona tarakimu za hela kwenye mtandao alafu huwezi kuzitoa.
 
Inawezekana kupata hela sema mimi bado sijafikisha minimum requirements baba sio mtu mmoja nomemuona anapata fedha
 
Nilishawahi kuifanya hii ishu.
Na kiwango cha chini ili uweze kupata pesa ilikuwa ni dola 300.
Nilifikisha, nilipotaka ku claim, wakaniambia nijaze nishiriki kwenye utafiti wao.
Nikashiriki, mwisho wa siku wakasema hii ofa kwa afrika hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom