Barua za kupangiwa kituo cha kazi

Barua za kupangiwa kituo cha kazi

don-oba

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
1,388
Reaction score
683
Kwanza napenda kuwapongeza UTUMISHI kwa kuboresha utaratibu wa kuomba nafasi mbalimbali serikalini.

Lakini ni jambo la kushangaza pale mtu unapoitwa kazini wanasema barua za kupangiwa kituo zimetumwa kwa njia ya posta. Ningeshauri watumie utaratibu wa kutuma barua kwa njia ya email.

Ni wiki ya pili hii naenda posta, sioni barua wanasema bado hazijafika.
 
Nenda UTUMISHI 2nd floor pale utaipata kuna wakati flani niliifuata yangu nlimuuliza sister mmoja pale akaniambia hawazipeleki posta kwanza kwasababu candidates ni wasumbufu ukituma posta wanazifuata pale ndio maana wanaanza pale then wana peleka posta kwahiyo mkuu ifuate pale tu bora umefanikiwa kupata kazi pia huwezi kureport kazini bila ya barua uliyopangiwa kumuonyesha muajiri wako so kama uko mkoa fight kiongozi
 
Back
Top Bottom