Mtafiti Madini
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 101
- 38
Kazi kwa anayehitaji
Kazi: Kuendesha na kusimamia biashara.
Bidhaa zinazouzwa: Mojawapo ya bidhaa za chakula kutoka shambani
Uuzaji: Kwa jumla na reja reja
Eneo la biashara: Gongo la mboto.
Mshahara: Posho ya 300,000Tshs kwa mwezi + Bonas kulingana na utendaji mzuri na mwenendo wa biashara.
Sifa za mwombaji:
1.Wanaume watapewa kipaumbele, wanawake watafikiriwa
2.Kama ni mwanamke usiwe na mtoto mchanga
3.Mwombaji awe ni mchapakazi na anayejituma.
4.Awe na "Customer service" nzuri na uwezo wa kushawishi wateja.
5.Awe na uaminifu wa hali ya juu.
6.Awe mbunifu.
7.Awe anaishi mahali ambapo anaweza kufika eneo la kazi bila shida.
8.Awe tayari kusafiri ikibidi
9.Asiwe bishoo.
Kama unafikiri unahitaji kazi na una sifa hizo, nicheki PM Ukieleza kwa nini unafikiri wewe ndo upewe kazi.