Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Hello, Mtaalam wa kuendeleza biashara (Business development Officer) awe pia na taaluma ya marketing uzoefu miaka mitano katika taasisi binafsi maeneo ya africa mashariki ani- PM haraka iwezekanavyo.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Microf Consulting Company Limited ni kampuni inayojishughulisha na utoaji mafunzo katika Sekta ya Microfinance na SACCOS nchini. Inatangaza nafasi za kazi za kujitolea kama Office Administrator na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Redirect
Ndugu wana jamvi, Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli- apply kupitia online test na wameita watu kwenye interview trh. 28 oct, binafsi siijui kiundani lakini wanasema wanashughulika...
0 Reactions
Replies
Views
Kama wewe ni binti au msichana uliyemaliza kidato cha nne na kuendelea na mwenye umri usiopungua miaka 24 na huna ajira kwa sasa wasiliana nami and kwa namba 0786-522229 kwa maelezo zaidi. Ofisi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke aliyemaliza kuanzia kidato cha nne na kuendelea ambaye nimwaminifu ili niweze kumuajili kwenye DUKA LA M-PESA na TIGO- PESA MAKUMBUSHO-Dar. sifa zake 1 uaminifu 2.umri miaka 20...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani, Naombeni kazi. Mimi ni fundi umeme matata sana, hasa wayaring. Nina uzoefu wa kutosha, ni levo 3. Kama una kazi tusaidiane. Piga 0655 889 567 Mimi nipo Arusha. Popote nipo tayari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wote,, Mi leo nimeitwa kwenye usahili Alhamisi na hii kampuni ya Chui,, tafadhali kama kuna anayeifahamu vizuri anijuze tafadhali. Inamilikiwa na watu gani?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi JF, We are Asap looking for Sales and Marketing freelance with a good knowledge and experience in Security Industry i.e CCTV systems, Alarms, Electrical Fences, Tracking Systems, Security...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Habari zenu. Mimi ni kijana nliyemaliza Diploma ya water supply and sanitation Chuo cha Maji (WDI). Natafta kazi ya plumbing au nyingine zozote zinazoendana na fani yangu. Yeyote anayeweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kazi yoyote iliyo halali na isiyokiuka misingi ya haki za binadamu. Ni vijana wa kiume. NiPM au tuwasiliane kwa namba 0759708720. Wapo Shinyanga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninahitaji mfanyakazi wa ndani na nje ya nyumba kwa shughuli za nyumbani,awe mwenye weledi wa kazi na asiyependa kwenda kwa majirani au kuleta watu nyumbani na asiyependa mazoea na watu bila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tafadhari kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kufanya service ya AC kwa maeneo ya Kyela na Mbeya Mjini. Tafadhari ni_pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jf Dada ang anatafu kaz amesomea unes Msaada tafadhar ktk hli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada wana jamii nimemaliza certificate ya pharmaceutical dispensing natafuta sehemu ya kufanya kazi nmemaliza field muhimbiri kwa sasa nipo nyumbani nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Qn. In the doctrin of previty of conduct state that only a part to the contract can be sue or sued and can benefit from such contract in the sense that no stranger of such contract can be sue or...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Naomba tumsaidie ndugu yangu.. Elimu yake ni degree katika fani ya procurement & Supply. Kutokana na changamoto za ajira ameamua kuomba kazi ya mhudumu wa ofisi serikalini ambayo inahitaji...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Tembelea Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta kazi jamani ..lakini form nmefeli...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Diamond Trust Bank Wametoa nafasi za kazi. visit www.ajirazetu.com
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Feza schools Nursery primary and secondary Applications are invited from sutiably qualifed Tanzania citizens to following posts. Qualifications The posts...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom