Kwa anayeifahamu kampuni ya Chui Security

Kwa anayeifahamu kampuni ya Chui Security

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
638
Reaction score
558
Habari zenu wote,,

Mi leo nimeitwa kwenye usahili Alhamisi na hii kampuni ya Chui,, tafadhali kama kuna anayeifahamu vizuri anijuze tafadhali.

Inamilikiwa na watu gani?
 
Sales and customer care officer
 
CHUI SECURITY CO. LTD

img_address_icon.png
P.O. Box 14889, Dar Es Salaam
img_telephone_icon.png
+255 (22) 2448013 / +255 (22) 2400047

 
Ni kampuni ndogo ya ulinzi ipo mikocheni kwa warioba inamilikiwa na mama flan
 
Back
Top Bottom