Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asalam aleykum Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough...
16 Reactions
95 Replies
10K Views
Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Nipeni maua yangu mimi ndo mbongo wa kwanza kugundua kwamba mademu zetu hawa wa hovyo walioshindikana wana stress za kudaiwa kodi na mara nyingi huwa ni 60000 wanazonitajia. Kwa siku ya leo tu...
17 Reactions
39 Replies
3K Views
Mi sio mwanasheria ila najua hakimu hapaswi kusikiliza shauri ambalo ana maslahi binafsi. Lakini uyu hakimu wa mahakama ya mwanzo kihonda (mheshimiwa J) aliamua kuweka kando maadili ya kazi na...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari wana JF! Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote?? Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa. Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Nina sababu chache kudhibitisha hili; 1 Baadhi ya wanaume wapo tayari kuwa na mahusiano na Mwanamke wa aina yeyote Ile; Mwanamke mwenye tatoo mwili mzima, mwanamke aliyelala na wanaume weeeeengi...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana MMU, Muda si mrefu uliopita nilikua nimekutana na mpenzi wangu katika harakati zangu za kujiona kiasi gani nipo fiti tangu niache puli. Tulianza kuandaana kama kawaida lakini nikiri...
5 Reactions
128 Replies
15K Views
Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito...
43 Reactions
123 Replies
8K Views
Tukiwakataza vijana wasichukulie mapenzi serious hawaelewi. Huko Dodoma kijana mmoja kamchinja mpenzi wake na kisha kujichoma kisu tumboni na kufariki sababu ikiwa ni wivu wa mapenzi. Kijana...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia biIla kutumia pombe au kutoka na wanawake...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Msinichoke kwa post za kila mara.... Napenda sana kuandika...!!!! Mimba za bahati mbaya ninazozungumzia sio zile watu wanaosingizia kuwa iliingia kwa bahati mbaya HAPANA... Mkishavuliana nguo na...
31 Reactions
176 Replies
21K Views
Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika. Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Mungu wetu alipokuwa akimtafuta Adamu aliiita kwa sauti kuu Adamu uko wapi? Ukisoma vizuri utagundua kuwa swali hili lilikuwa la kijiografia(a geographical question on location) cha ajabu Adamu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Anyo-Ashi-Mikaaa! Leo katika kupitia pitia baadhi ya documents zangu, nikawa nasoma quotation moja kutoka kwa intellectual mmoja. Ikanikumbusha ujumbe na AMRI kutoka kwa Mtume Paulo iliyokataza...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Aisee sitasahau njoo nayo kama ilikuwa siku ya jmosi nikaamua leo naenda kutoa ugwadu nikajianda mapema tu mida ya saa mbili ivi nikaibuka kiwanja kiomoja kanapatikana mabatini , nikaona mdada...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nauliza kwa uzuri tu. Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa? Naombeni msinifikirie vibaya.
17 Reactions
68 Replies
5K Views
So huyu dada anaishi modest/humble family/background (nikisema modest i mean kwa tafsiri ya kiswahili ni kama familia maskini). She works for me. Anakuja kufanya usafi na kufua (as known kama...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mwenzenu yamenikuta, naombeni msaada namna ya kucontrol hii hali. Mimi ni kijana wa 34yrs hv, nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae kwangu alikua rafiki, mshkaji na kama...
14 Reactions
261 Replies
16K Views
Habari zenu ndugu zangu Bila kujaza mate kwenye maiki ngoja niende kwenye lengo langu lililo nifanya niombe msaada. Ni miaka takriban mi 3 tumeishi poa na kwa furaha sana mie na mpenzi wangu/mke...
8 Reactions
57 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…