Mara mia tu niwaachie dunia yenu nikaishi kwenye mavolkano tu huko. Maake udharirishaji umezidi
Yaani mwanaume unalilia mapenzi! Yaani unamwaga mpaka chozi na kujinyenyekeza kabisaaaa!!π₯π₯ Yaani...
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana
money penny: sa unataka nifanyaje jaman
client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje
money...
Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.
Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa...
Wakuu kwema?
Wakuu mimi ni kijana nina miaka 30 na pia nimuajiriwa na naishi peke yangu kwa zaidi ya miaka miwili. Sina biashara nyingine zaidi ya ajira ila kuna vikazi vidgo dogo vya computer...
Kuna kitu kimenishangaza kidogo jana nimetumiwa message ya kuachwa na mdada ambae hata sikufahamu kama tulikuwa katika mahusiano, tulikuwa na mazoea tu mwezi wa 12 akasafiri kwenda kwao amerudi...
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia...
Jaman Mimi mwenzeno Leo yamenikuta mida ya sa 2 njiani nikakut mdada Yuko na jamaa dalili zilionesh ni kama wanaagan Nika tulia kidg nikwel wakaagan.
Mi nikasubil jamaa apotelee nikadak namba...
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo...
Kwa wale ndugu zangu wazee wa kukimbia kimbia barabarani na wale wa kwenda gym poleni sana
From now on, mazoezi yangu nayahamishia Kwa bed ( kitandani) [emoji23][emoji23]
Uamuzi ni wako ...
Wanawake hawapendi watoto wasiowazaa hasa hawa watoto wadogo.
Kama wewe uliachana na mama wa mtoto wako kisa alikucheat, ni kwamba; mtoto huyo anapata maumivu makali kutoka kwa huyo mkeo...
Habari wadau
Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.
Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata...
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo...
Nowadays kumekuwa na wimbi kubwa la watu (me+ke) kutafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii kama vile FB, IG, X, TG etc.
Mtu anaingia zake Photo Lab anafanya editing za kutosha, kuji-snap kwa...
Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022.
Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya...
Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?
Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamaniππππππππ
Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume...