Inakuawaje unaachwa na mtu ambae hujui kama mlikuwa kwenye mahusiano?

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
7,627
9,321
Kuna kitu kimenishangaza kidogo jana nimetumiwa message ya kuachwa na mdada ambae hata sikufahamu kama tulikuwa katika mahusiano, tulikuwa na mazoea tu mwezi wa 12 akasafiri kwenda kwao amerudi majuzi tukawa tunaongea vizuri tu.

Jana usiku saa moja anasema bora tuachane anashukuru kwa upendo niliomuonesha kasikia maneno mimi muhuni sana, nalewa, navuta bangi na sigara kwahiyo hatuwezani nikabaki nashangaa tu nimjibu vipi na sikuwa najua kama tulikuwa kwenye mahusiano sababu sikuwahi kumtongoza wala kufanya naye chochote cha kimahusiano.
 
Kuna kitu kimenushangaza kidogo jana nmetumiwa message ya kuachwa na mdada ambae ata sikufahamu kama tulikuwa katika mahusiano tulikuwa na mazoea tu mwezi wa 12 akasafiri kwenda kwao amerudi majuzi tukawa tunaongea vizuri tu

Jana usiku saa moja anasema bora tuachane anashukuru kwa upendo niliomuonesha kasikia maneno mimi muhuni sana nalewa navuta bangi na sigara kwaiyo hatuwezani nikabaki nashangaa tu nimjibu vipi na sikuwa najua kama tulikuwa kwenye mahusiano sababu sikuwahi kumtongoza wala kufanya naye chochote cha kimahusiano
Mahusiano ni mawasiliano.
 
Back
Top Bottom