Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka...
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma...
Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa...
Kuna hii tabia ya toka zamani ya wazazi au mzazi mmoja kukataa kumkubali mpenzi wa binti yao ambayo limekuwa kama limepitwa na wakati. Lakini wapo baadhi ya wazazi wanaishi katika zama za giza...
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya...
X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu.
Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
Niliachana na baba mtoto wangu, akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2.
Safari hii nimeamua...
Nipo kwenye mahusiano ya miez 10, mwezi wa sita mpenzi wangu alinipromice kwenda kujitambulisha, akaniambia anasubiri kikao cha familia kwasababu mwaka huu wengi kwenye familia yao watapeleka...
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi...
Heloe JF,
Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na...
Jamani, niwaambie ukweli ndugu zanguni sisi wanawake tumetofautiana, hilo mkae mkilijua tuko na tabia hizi:
Mwanamke anaweza kukupenda kwaajili ya uzuri wako tu (muonekano) mwanamke wa aina hii...
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua...
Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.
Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha...
Hello JF...
Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini.
Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME
Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa...
Duniani kuna majambo na vijambo.
Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm.
Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu.
Eneo hilo hilo...