Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro...
25 Reactions
177 Replies
33K Views
Habari za weekend ndugu zangu, Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari WanaJamiiForums Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi. Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
12 Reactions
139 Replies
5K Views
Mimi nipo Dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila. Tuwasiliane kwa...
11 Reactions
120 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii...
16 Reactions
190 Replies
14K Views
Mimi ni mdada Umri wangu ni 28 Mrefu kiasi Rangi maji ya kunde Nina mtoi 1 Mengineyo: pm nahitaji mwenza Awe serious na mwenye kujitambua Muislam mwenye hofu ya mungu Umri 32-48
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Mimi na ma mkubwa yangu tunaishi wilaya moja hapa DSM. Siku za weekend huwa nakwenda kumtembelea nipatapo muda ingawa ni weekend moja kwa mwezi mmoja ama miwili Siku ya jumamosi jioni nilipita...
18 Reactions
155 Replies
11K Views
Hi,wanajamvi namtafuta rfk yangu kpnz anaitwa vivian anakaa Arusha Mianzini na anafanya kaz NGOs mwembamba mrefu mweupe na ana dada yake anaishi Upanga dar kama ameuona ujumbe huu au kunamtu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu [emoji17][emoji17] Ukiingia kwenye uzi wa kula kimasihara unaweza sema hufai kuwa mwanaume kabisaa, maake kule wanaume wanachakata mbususu kibahati mbaya, iwe alfajiri, mchana...
19 Reactions
34 Replies
8K Views
Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini...
14 Reactions
147 Replies
13K Views
jimama linaloishi tanga lini-PM kwa mapenzi ya kuibia na ya kiutu uzima. Awe tayari kupima ngoma na STDs kabla ya malavidavi.
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Mimi Mjanja M1 nimeishi Marekani, Uingereza na China, kote huko sijaona mambo ya ajabu kama haya!
6 Reactions
12 Replies
848 Views
Habari wakuu Utofauti ni upi kati ya malaya na huyo unayemuita demu wako. Malaya analala na wanaume wengi tofauti tofauti kwaajili ya kupata pesa, demu wako ana msululu wa wanaume kwenye simu...
14 Reactions
49 Replies
4K Views
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi. Direct kwenye point. Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya swala la kucheat katika ndoa ( sizungumzii wapenzi ambao hawajaoana). Ili swala sidhani wahusika kama huwa...
23 Reactions
497 Replies
109K Views
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu...
6 Reactions
7 Replies
718 Views
Admin mimi nimeolewa na nina mtoto mmoja wa kiume. Kabla sijaolewa nilikua na mahusiano na kijana wa Kichaga, kiukwel tulipendana na yule kijana alinijali, aliniheshimu, kiufupi tuliishi vizuri...
9 Reactions
127 Replies
11K Views
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe. Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni...
20 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom