Moyo mpweke natafuta mwenza

Mimi ni mdada
Umri wangu ni 28
Mrefu kiasi
Rangi maji ya kunde
Nina mtoi 1
Mengineyo: pm

nahitaji mwenza
Awe serious na mwenye kujitambua
Muislam mwenye hofu ya mungu
Umri 32-48


Inshaallah utapata cha muhimu usikatishe tamaana maana kuna wengine wana maswali/majibu machachu sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom