Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile...
39 Reactions
375 Replies
13K Views
Kuna vitu vinatafakarisha sana hasa ukiwafikiria vijana wanavyodai na kumchukia mwanamke msaliti, sasa tuweke sawa, ni hivi kuna baadhi ya wanaume tunasemaga, ukimkuta mkeo...
19 Reactions
91 Replies
4K Views
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu kuna jambo linanitatiza. Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake...
10 Reactions
288 Replies
68K Views
Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa. Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Habarini jamani, Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Hello how are you! Kama nilivowagusia kwenye uzi wangu ulopota. Baada ya kupata mishe mkoa wa Tanga nilifanikiwa kukutana na kufahamiana na watu wengi wafanya biashara hasa hasa. Miongoni mwa...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Inaweza kushangaza lakini ndo ukweli wenyewe Unadhani ni kwanini? Ukweli ukuweka huru
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndio maana " Kataa ndoa & co" wanasema " ndoa ni utapeli"
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane...
23 Reactions
109 Replies
5K Views
Wakuu, haya maisha yanafunzo. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake! Mtoto aliniachia mawasiliano...
48 Reactions
262 Replies
13K Views
Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number. Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema...
17 Reactions
32 Replies
5K Views
Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Kama mada ilivyo... Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli...
18 Reactions
151 Replies
7K Views
Habari, Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani. Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke miaka...
1 Reactions
5 Replies
973 Views
Nadhan moja majukumu ya wazazi yanayoendelea kupotea ni wazazi kuwatafutia watotot wao wachumba wa kuoa au kuwaoa, binafsi nadhan utaratibu huu urudishwe tena upewe nguvu zaidi hasa kwa watoto wa...
18 Reactions
169 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…