Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Kwanini watu...
.
Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala...
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo...
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.
Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package)...
Jamani hamjambo?
Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni...
Kwako baba mtoto,
Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama.
Nilikupenda sana mfano...
Well, in comes di ting them call di broken heart
This blessed love will never part
Yuh dun know it's from the start mi tell them seh a dutty, yeah!
A Sean Paul and Sasha. Come sing for them, baby...
Kila mwanaume angeweza kusoma hiki kitabu cha Esther Villar In her book "THE MANIPULATED MAN "
Mwanamke jinsi anavo rubuni mwanaume tangu zamani na kuwabadili kua watumwa wao wa milele wanawake...
Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli.
Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni
Nguo nyingi za wanawake hazina...
Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu.
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni...
ANAKUPENDA WEWE AU ANAPENDA UONGO WAKO? SWALI MUHIMU KUJIULIZA 😊
Yawezekana yupo kwako kwa kuvutiwa na majigambo yako uliyojivika na kuonekana mtu mwingine ila siku ukirudi uhalisia unakuwa sio...
Kumbuka kuwa, pamoja na kwamba unaweza kuwa mzuri sana ila bado utakataliwa....hata maembe ni matamu sana ila sio watu wote wanapenda maembe...
Mananasi pia ni matamu sana lakini sio watu wote...
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.
Lakini...
Oyaa to everyone here, i have somehow got this time to speak with every single one of you. Some, will probably be sleeping. Some will be not able to read this for whatever reason but for the ones...
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.
Hapa ofisini kuna dada...
Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea...
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia...
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na...