Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna Taasisi zina Hali ambayo hairidhishi kwa kweli. Ziko hoi na zinaelekea pabaya. Sababu ndio nataka tuzijadili hapa, ila zinahuzunisha. 1. Taasisi ya ndoa - hii ndio ina hali mbaya sana 2...
3 Reactions
12 Replies
733 Views
Ananiletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha...
3 Reactions
7 Replies
698 Views
Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine Sasa basi mimi na mke wangu tuna...
20 Reactions
442 Replies
36K Views
Mama yangu alichagua kutoolewa na baba yangu. Alimsihi, lakini alikuwa amependa mtu mwingine. Alijaribu kuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa mdogo, lakini baada ya hapo, kimsingi alitoweka...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40. Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi (...
15 Reactions
97 Replies
4K Views
Hello how are you all!!!!! Leo nimekumbuka hiki kisa. Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku. Baba...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau. Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi . Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo. Nikifika...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share. Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya...
88 Reactions
138 Replies
8K Views
Wakuu Bwana Yesu asifiwe! Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu. Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na...
36 Reactions
142 Replies
4K Views
UTANGULIZI MUHIMU: Kisa hiki ni cha kweli sio hadithi ya kusimuliwa wala kufikirika na nitakiandika kama ninvyokikumbuka. Kisa nitakiandika kwa ufupi na kukigawa iwe rahisi kusomeka. ANGALIZO...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu...
24 Reactions
49 Replies
8K Views
Ma-Single Mother/Single Father Duniani kuna watu wanaokadiriwa bilion 8+ Kwa idadi hiyo ni serious umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende? Aaaaaah alooo!
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma...
16 Reactions
200 Replies
7K Views
Nipo na Mubaba wangu Mubaba kweli kweli Tuko simba day hapa nimesalimu amri, kwa machine ya jana amenifunga goli kizembe sana nikamwambia sawa Mubaba wangu, kesho unanislimisha simba ila me...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa...
11 Reactions
89 Replies
6K Views
MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…