Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali. Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe...
38 Reactions
69 Replies
3K Views
Anaandika, Robert Heriel, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe...
123 Reactions
203 Replies
20K Views
Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli...
5 Reactions
8 Replies
832 Views
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli...
6 Reactions
18 Replies
900 Views
Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto. Hivi kweli waliozaliwa familia Moja...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Akili ya mwanamke wa kisasa anapoanza kuingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza katika umri kati ya 16 years hadi 26 years haijapishana sana na akili ya mhitimu wa masomo ya chuo a.k.a graduate...
33 Reactions
66 Replies
4K Views
======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
13 Reactions
149 Replies
4K Views
Kwema wakuu, Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda. Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa...
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa...
25 Reactions
134 Replies
6K Views
Salaam wakuu, Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa...
18 Reactions
66 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mada ipo mezani karibuni tujadili Kwa hekima na busara Lugha zisizo na staha hazikubaliki
8 Reactions
102 Replies
5K Views
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites. Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria...
27 Reactions
107 Replies
9K Views
Hello Wana JF,
5 Reactions
3 Replies
529 Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
22 Reactions
595 Replies
28K Views
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia...
30 Reactions
94 Replies
4K Views
Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani. Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata
22 Reactions
216 Replies
9K Views
Habari wadau,kuna couple ukiingalia yani haiendani kabisa na uharisia yani unakuta jama ana sura ngumu ila anamiliki chombo moja ya hatari. Watu wengi wenye pesa hujikuta wakimiliki mademu ambao...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…