Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa. Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa...
42 Reactions
238 Replies
11K Views
Kulingana na kazi ninayofanya ya utatuzi wa migogoro ya kijamii nimepokea kesi nyingi za wanawake za watu kuzaa na wanaume wengine wakati waume zao wapo hai Nimegundua wanawake wa watu...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Baada ya kupotea humu jamvini kwa miezi kama mitatu leo nakuja na mada ya visasi kwenye mahusiano na athari nilizokumbana nazo. Kuna mwanaume nilikuwa nampenda sana mpaka basi, nikawa na hisia...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera...
3 Reactions
6 Replies
473 Views
Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
8 Reactions
20 Replies
991 Views
Wakuu habari za saizi, Wakazi wa Dar niwape hongera au poleni na mvua? To day Dar iko powa sana hali ya hewa inaruhusu. Kutokana na hali ya hewa kuwa nzuri tuambie jambo zuri alilowahi...
4 Reactions
156 Replies
11K Views
Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji...
51 Reactions
104 Replies
14K Views
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
20 Reactions
92 Replies
9K Views
Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3...
26 Reactions
213 Replies
7K Views
Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa...
13 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu yule msichana alieniambukiza UTI sugu kanicheki kasema na yeye anaumwa ila hataki kwenda hospital. Mimi nimevunga sijamwambia kwamba ana UTI sugu😅😅. Tumieni Kinga wakuu!!!!
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu. Katika...
1 Reactions
3 Replies
558 Views
Hello, Nafuraha sana kuwa moja ya sehemu nilizokua nikitafuta faraja kwa muda mrefu sana. Miaka zaidi ya 20 ya kuishi niliyonayo, tayari nimekomaa vya kutosha kuhimili mikiki mimiki ya mapenzi...
1 Reactions
1 Replies
316 Views
Tanzania mke anaonekana ndio mfuaji. Ila huku kufua ni jambo la kimashine zaidi. Na hata kama hamna mashine ya kufulia nyumbani viko vitu vya kufulia kwa gharama nafuu na hakuna maseke. Mfano...
15 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!" Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini...
46 Reactions
103 Replies
6K Views
Wakuu nimeamua kusamehe kwa sababu sijui atakaenizika nimewasamehe wabaya wangu lakini nisingependa ukaribu nao, tukikutana tusalimiane tu kwa bashasha lakini sitaki ukaribu nao.
5 Reactions
8 Replies
475 Views
Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu...
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda. Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao. Mimi nime msave 💖...
7 Reactions
129 Replies
4K Views
Habari wakuu jamani hapa ni ushauri wa kujenga tu ndio unahitajika. Wakuu, mimi nimeoa nampenda sana mkewangu lakini hapa juzi kati nilichepuka na sikutumia kinga maana niliechepuka nae ni mtu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom