Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu jf, moja kwa moja kwenye mada hivi uzinzi mnauchukuliaje, maana nilikuwa nasikiliza kipindi cha mwarobaini cha chaneli ten, nadhani kuna swali walikuwa wameuliza ambalo linauhusu siri...
3 Reactions
7 Replies
609 Views
BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA πŸ˜” Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana...
3 Reactions
11 Replies
715 Views
Mambo vipi wakuu? Binafsi naamini wakati wote Mrembo anapokuja ghettoni kwako si lazima Mjigijane... Muda mwingine unaweza ukaishia kupiga nae Story tu..... Au mkacheki zenu muvi tu.. Naamini...
6 Reactions
142 Replies
5K Views
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo. Sasa manzi akashika mimba ya...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake...
4 Reactions
11 Replies
812 Views
Habar wana jamii forums, natumaini wote niwazima mungu anaendelea kutupigania. Jaman NASISITIZA na KUSISITIZA kama umeondoka nyumbani kwako na kusafiri kikazi na kumuacha mkeo bhas niamini mimi...
11 Reactions
184 Replies
9K Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
69 Reactions
662 Replies
19K Views
Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe. Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale...
58 Reactions
195 Replies
7K Views
Ndugu wana Jf na ndugu wa somaji kwa namna zenu salam zenye heri tele ziwafikie popote mlipo katika harakati zenu, basi na wale wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine Mwenyezi Mungu awafanyie...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka. Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha πŸ˜” Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na...
31 Reactions
81 Replies
4K Views
Mkali wao: Unajua Penny nimemiss sana penzi la Nginjanginja? Money penny: Ambalo ni lipi? Mkali wao: Penzi la vurugu, penzi la kila sehemu mnaweka kikao, penzi la huku na kule, penzi la...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness...
14 Reactions
69 Replies
3K Views
Ni hivi, huyu bibie kama miaka miwil nyuma hivi nilikua sijapata kazi ya maana, yaani ilikua nafanya kazi hii narukia hii, au nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Kama mnavyojua kazi na agencies...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Jumatano njema! Angalizo: nitatumia lugha zisizo rasmi kwenye uzi huu. *************************************** Kuna vitu vinachekesha mno. Sasa kuna linkage ipi kati ya ngono na wanawake na...
17 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu mambo vipi? Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye...
5 Reactions
211 Replies
19K Views
Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka. Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka...
38 Reactions
119 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…