Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka...
15 Reactions
32 Replies
8K Views
Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe. Nimemaliza. Ukweli unaoumiza.
7 Reactions
23 Replies
725 Views
Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia. Akaambiwa...
0 Reactions
7 Replies
514 Views
Huo ujasiri wa kuchojoa nguo zote hadi za ndani mnautoa wapi na unakoroma kabisa dah aise? Mmewajazeje ndrugu zangu wanaume? Na je, ni vizuri au vibaya?πŸ’
9 Reactions
63 Replies
4K Views
Kweli Mapenzi ni upofu Kweli na mwanamke akipenda anapenda kweli kweli ..Hizi ni Picha Zinazovuma za Wanandoa Waafrika wanaishi pamoja Mume na mke. Binti amesema "Nampenda mume wangu ananijali...
0 Reactions
4 Replies
626 Views
Yaani unaweza hisi wanatengenezq moviee aisee Niko beach moja nimekuja mazoezi naangalia mabinti na wake za watu wanavyochanuliwa maapaja yao ati mazoezi Aisee nisisikie mke wangu amekwenda...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa...
15 Reactions
103 Replies
3K Views
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Umuofia kwenu ndugu zangu JF, Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Baniani mbaya kiatu chake dawa. Si kila mwovu hakyna cha kujifunza kwake la hasha. Hii tabia ya matajiri kuandika mali zao majina ya mama zao au watoto inasambaa sana na ni kitu wanaume...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!! NB: mama anaishi kwake na mimi naishi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri. Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee. Mungu sio mjinga...
76 Reactions
208 Replies
11K Views
Habarini za asubuhi Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti) Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
NO CONDITION IS PERMANENT ;;;;; Condition may change at anytime.πŸ€” Don't devalue anyone in life. 🧏 Don't look at anyone with contempt. No one knows tomorrow.πŸ‘‚πŸ‘‚ In 1Sam2:5, Who could say Hannah...
3 Reactions
6 Replies
373 Views
Habar wana jf, Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania. Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu. Niko na...
18 Reactions
272 Replies
10K Views
Ukiwa Feminists ni shida, Single mother ni shida, Ukiomba pesa malalamiko Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo. Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo Ukivaa nguo za...
36 Reactions
277 Replies
9K Views
Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na...
1 Reactions
8 Replies
893 Views
Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa...
1 Reactions
9 Replies
999 Views
Habari zenu jf, moja kwa moja kwenye mada hivi uzinzi mnauchukuliaje, maana nilikuwa nasikiliza kipindi cha mwarobaini cha chaneli ten, nadhani kuna swali walikuwa wameuliza ambalo linauhusu siri...
3 Reactions
7 Replies
609 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…