Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia. Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi...
6 Reactions
94 Replies
3K Views
Habarini za majukumu wakuu? Poleni na kazi za ujenzi wa taifa. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye point, Nina msichana toka huko Tanga kwa wasambaa, sasa nahitaji kufanya nae...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Swali wakuu, Je, mwanaume anaweza kutumiwa kingono na msichana? Kuna msichana mmoja ambaye kila mawasiliano ni kuhusu mambo ya ngono tu, hana mada nyingine. Kila nikijaribu kubadilisha...
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Bwana Gary Chapman anatupa Code ya kumjua mwenza wako na vitu gani umfanyie ili yeye AHITIMISHE KWAMBA ANAPENDWA NA WEWE unaweza kufanya mambo mazuri tu lakini kwake yakawa sio kitu kwa sababu tu...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia? Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa...
21 Reactions
446 Replies
20K Views
Salalee, Malikia cute ni habari ya Dunia, ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Filauni, yaani Malkia cute anafaa kwa pigo zote daima mbele nyuma mwiko na, habari ya mjini usikose nyama, na...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Ni hapa ninapokaa Kuna hiki kibinti kimeamia juzi juzi tu hakana ata miezi mitatu, Si mnajua hizi nyumba za kupanga huku kwetu Kwa kina sisi apeche alolo bafu na choo Huwa ni vitu vya kushea ...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Shtuka! Usafi wa mwili wako ni jukumu lako.... Swaka kinywa chako zaidi ya mara moja kwa siku. Kama shughuli zako ni za juani baada ya kumaliza kazi koga vizuri na sugua vizuri kwapa zako, tena...
3 Reactions
6 Replies
663 Views
Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na...
0 Reactions
9 Replies
621 Views
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye...
0 Reactions
4 Replies
446 Views
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
1 Reactions
7 Replies
657 Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
20 Reactions
134 Replies
9K Views
Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai. Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu. Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari. Karibuni kwa kujadili hii mada natumaini ninaweza kupata uzoefu(Experience) zaidi kuhusiana masuala ya ndoa na mahusiano. Kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa nyingi kuvunjika,migogoro ya...
3 Reactions
17 Replies
736 Views
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka?
24 Reactions
258 Replies
10K Views
Kwema wakuu, Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je...
1 Reactions
7 Replies
457 Views
Baby mama wangu kanianzia mbali sana, kanambia kuna mdada mtoto wa mjini amemtafuta anauza dawa za kusimamisha matiti. Anaomba ushauri je atumie au asitumie, babymama wangu huyu yeye ana mtoto...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom