Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi...
Heshima kwenu wana jamii....
Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?
1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2...
Katika maisha ya mwanamke wa kisasa, kuna stage imekuwa introduced inaitwa "Hoeing phase". Hii ni stage ambapo mwanamke anakuwa anataka kuwa huru kufanya yale yote ambayo jamii imekemea mwanamke...
Usimuonee huruma mwanamke. Kama umemkuta hana bikira wewe piga piga piga piga piga piga halafu sepa, urembo wake ukuongoze kwenda nae kitandani sio altareni.
Trust me comreds, you can take her...
HATARI ZA KUCHELEWA KUOA!
Anaandika, Robert Heriel
Hakuna umri specific wa mwanaume kuoa lakini inashauri angalau umri kuanzia miaka 25-35 ni umri sahihi Kwa kijana kupata jiko. Lakini...
Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.
Juzi kuna...
#1 . Mpende utakavyo mpenda lakini usimwamini kupitiliza .
#2. Kama unataka kumpoteza harakat , mjali sanaaa alaf mpe kila anachokitaka.
#3. "Wee date na wote wawili uone yup yupo serious " hivo...
Habari Wana jamii forum,
Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi
Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza...
Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana.
Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili...
Nimejaribu kuwaza watu wanaochepuka na wake au waume za watu wanajitambua kweli? Hivi wanajua chemistry iliyojengeka kati ya mtu na mwenza wake? Hata kama wenyewe kwa wenyewe watagombana waache...
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.
Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake...
Nipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sijawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.
Sasa najiuliza maswali kama...
Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa.
Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa...
Mifano ni mingi sana humu nchini.
Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa...
Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua...
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.
Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu...
Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa...
Katika maisha ukishafikia umri wa kuoevuka kibiolojia ni lazima utalazimika kutimiza matakwa ya kibiolojia.
Kuna umri fulani ukifikia hujaoa ama hujaolewa ni lazima utaanza kujiona ni mwenye...
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.
Siku zote kulipiza kisasi kamwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.