Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya jioni wakuu katika Jf, poleni na hongereni kwa hekaheka za siku ya leo.. nimekaa hapa nikarafakari nikajiuliza nikakosa majibu imebidi nililete kwenu naombeni kuuliza wajuzi wa mambo...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu? Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
24 Reactions
173 Replies
6K Views
Munandeleaje? Mimini mzee, hawa mabinti hawana nidhamu wala adabu. Ni hawa mabinti wa miaka ya 2000 Binti wa Miaka 25 anapata wapi ujasiri wa kumtongoza mtu wa umri wa baba yake? Kwaiyo wazee...
15 Reactions
67 Replies
2K Views
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate...
25 Reactions
81 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto. Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida...
23 Reactions
86 Replies
4K Views
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili. Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume...
2 Reactions
4 Replies
641 Views
kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
454 Views
Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka. Nimeamua kujituliza ili niwaachie na...
2 Reactions
9 Replies
640 Views
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno. unadhani wamekomazwa na nani, wapi? Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima.. Ni nini hasa chanzo cha...
10 Reactions
124 Replies
5K Views
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
USICHAGUE YA KUSIKIA DHIDI YA UMPENDAYE, HATA MABAYA YAKE YASIKIE✍️ Sababu kubwa ya kushindwa kumsamehe ni kwa sababu ulimuona kwa upande mmoja tu hukutaka kujua ya upande wake wa pili na hata...
1 Reactions
9 Replies
442 Views
Wakuu.... Naombeni niwaulize kitu; Hivi mfano ndani kuna Mchele, mafuta, nyanya, kitunguu yaani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu na sio kila siku atakosa hiyo...
34 Reactions
125 Replies
5K Views
Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June. Hata...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Wakati naleta hii ishu nilishambuliwa lakini jamaa ndio ashafika kwa dada. Dadaak3 humuelezi kitu japo shemeji anawoga mkubwa kwangu. Anajua namuacha tu.. .lkn ni mtu wa kwenda kuanzisha maisha...
1 Reactions
3 Replies
558 Views
Sio kwamba wanawake wote wanaofanana baba zao ni wabaya la hashaaa Kuna pisi kali sana ila zimefanana baba zao kuliko mama zao Pata picha mko kwa bed mnanyanduana,ukimuangalia usoni mpenzi wako...
0 Reactions
17 Replies
847 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hiyo siyo hadithi ni jambo la kweli kabisa limemtokea Jirani yangu hapa nyakato mwanza Kaishi na mwanamke wa jamii ya wakulya mwaka wa nane huu wakizaa watoto wawili "...
2 Reactions
8 Replies
708 Views
Nadhani utakua umewahi kusikia hiyo kauli. Inadaiwa kuwa kuna wanawake ambao mwanaume ukimuoa tu mambo yako yanaparaganyika.Yaani kama ulikua na mafanikio kidogo au sana unaanza kuandamwa na...
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Back
Top Bottom