Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa. Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection. Wakwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe...
25 Reactions
115 Replies
7K Views
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye. Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu...
8 Reactions
31 Replies
807 Views
Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka. Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007 Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
4 Reactions
58 Replies
29K Views
Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo...
2 Reactions
13 Replies
16K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine. Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada...
24 Reactions
229 Replies
23K Views
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri. Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii...
61 Reactions
509 Replies
101K Views
Hello wakuu Kuna Uzi niliandika hapa JINSI YA KUMUACHA MWANAMKE ALIYEKUGANDA. Sasa kumbe huyu manzi muongo age ishamtupa mkono aliniambia ana miaka 28 wakati mm nina 24 nikaona isiwe kesi...
7 Reactions
17 Replies
8K Views
Yaani jamani unakuta umeolewa na mume, ana mapungufu kibao, kwanza kibamia halitoshi single goal tena goal lenyewe la kuku lakini kutwa anachepuka unaona ni jinsi gani anajidhalilisha kwa kutoa...
19 Reactions
62 Replies
57K Views
Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa...
13 Reactions
168 Replies
7K Views
Nilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream, Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Niende kwenye mada! Ni kitambo sasa sijaleta muendelezo kuhusu Mercy, siyo kwamba kaacha kunifatilia hapana bado na saivi sielewi nafanya nini ila nitashinda (tutashinda mimi na Mage) Mambo...
3 Reactions
21 Replies
36K Views
Mhadhara - 46: Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu". Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
I will never get married, not even in a Dream - 50 Cent “Women are never with you 100%, 90% of them are with you because of what they stand to gain reasons I will never get married. Here before...
10 Reactions
80 Replies
4K Views
Kaka zangu chukueni hii.... Unapozama kwenye himaya ya mwanamke, ukiibuka pale lazima kuna kitu unaondoka nacho. Waweza kuchukua baraka au mikosi na nuksi kwa huyo mwanamke. Kuna mwanamke...
16 Reactions
85 Replies
3K Views
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ? Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia...
28 Reactions
126 Replies
48K Views
"Kumuandaa mwanamke (mke) sio kumjaza mate masikioni na shingoni" Nimeona mahali fulani. Wataalamu mwageni nondo zenu kiuchambuzi. NB: Nchi yetu itafikia tu kuwa kama bustani ya Eden.
11 Reactions
20 Replies
1K Views
MTENDWA wa usaliti hupata maumivu makali, wakati huohuo mwanzoni msaliti hukenua kwa kudhani ameshinda. Maisha hayapo hivyo! Anayesalitiwa humwaga machozi kwa kilio cha mahangaiko ya moyo...
8 Reactions
59 Replies
23K Views
Kwema wakuu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mwanamke nimekutana nae mara mbili hivi karibuni sasa juzi hapaa nimemwambia irudiwe tena akanijibu kuwa show zangu kali ukizingatia mara zote...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato...
6 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…