Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani.
Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni...
Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na...
Nipo mkoani kwa ajili ya kazi maalum nikaona si vibaya nipange nyumba kabisa kwa sababu kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu kumalizika.
Kuna mama mmoja ambae wakati nahamia hapa nilimkuta kwa...
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari...
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za...
Assalaam alaykum.
Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na...
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.
Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura...
Nilimuoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu...
Wengi wataona kama ni ujinga lakini hii kitu itakusaidia Sana kupata amani na furaha ya moyo wako.
Wanaume wengi mnaumizwa na wanawake kwa sababu ya ufinyu wa marafiki wa kike katika mzunguko...
Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako.
Kuna watu wanapendwa jamani.
Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
Sasaivi hakuna tena umuhimu wa ndoa kama hapo zamani kwasababu zifuatazo:
1. Sasa hivi wanawake wanataka haki sawa na wanaume yaani 50/50
2. Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kusaka pesa za...
Kuna dem mmoja tuliwahi meet safarini tukabadilishana namba. Sasa tunaishi mikoa tofauti na hatukuonana tena ikabaki kuwasiliana mara mojamoja maana nilishaanza mpotezea baada ya kujua kaolewa na...
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au...
Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi...
NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA!
Anaandika, Robert Heriel.
Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake...
Wakuu habari zenu!!
Mimi ni member mwenzenu wa mda mrefu ingawa ni msomaji Zaid,,, kwanza Niwaombe radhi kwa uhandishi mbovu ufuatao Pia huwa ninatatizo la kuchanganya R kwenye L,,,,( Mnivumilie)...
Kweli dunia imechoka.
Hapa ninapoishi kuna apartments tano zote ndani ya gate moja lakini kila moja ikijitegemea kwa kila kitu.
Hivyo kutokana na kila moja kujitegemea hakuna muingiliano jambo...
Nimekata tamaa; Nimepigika, nimeteswa, nimedharauriwa, nimeumizwa , sasa Basi !
Ndugu zangu wana MMU kama ambavyo nimetanguliza hapo awali sina namna tena.
Dunia kwangu imekuwa chungu mno. Sioni...