Mambo vipi wakubwa.
Ebana tuna siku ya tatu hatuongei na wife,sababu kubwa ni siku ya jumapili sikujua kama alipotoka church alipitia bar jirani na wanakwaya wenzie wakawa wanakunywa soda.
Basi...
Ningeulizwa Version sahihi ya mwanamke Africa mashariki na Kati inapatikana wapi bila kupoteza muda najibu ni RWANDA alafu ningeulizwa Why? Maelezo yangu yangekuwa haya Of course sitaki kuponda...
Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana...
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu...
Je Wajua?
Number Plate(Plate Number) Kwa mujibu wa kiswahili fasaha huitwa KIBANA?
Chukua hiyo,huishi nayo!
Kabla ya ndoa mara nyingi wanaume wanataka kupima kama yaliyomo yamo,siyo mtu...
Habari wakuu,
Nipeni ushauri juu ya huyu mke amekuwa na tabia kuwa jambo tunalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndugu zake.
Ndugu hao hao wa ndani...
Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki...
Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe.
Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza...
Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima??
mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka...
Ewe mzazi usimbane bane mwanao wa kike. Wewe na mwanao mtakuja kulia kilio cha mbwa koko
Dhama zimebadilika, mtoto wa kike hachungwi. Hatakiwi kubanwa banwa zaidi ya kupewa elimu ya ujinsia na...
Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20...
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.
Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha...
Wahuniiiiiiiii?
Nimewaita
Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku
Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao
Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi...
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu.
Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi.
Daaah ni...
Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha.
Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya...
Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu, lakini tuliachana miaka mitatu iliyopita. Hivi karibuni, alihamia karibu na ninapoishi, na sasa ana mtoto na anaishi na mtu mwingine, ingawa...
Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.