Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys) Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba! Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege! Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na...
78 Reactions
365 Replies
44K Views
Wataalamu wa mambo toeni mwongozo
1 Reactions
12 Replies
795 Views
Habari, Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao hadi huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali. Inatakiwa...
6 Reactions
46 Replies
10K Views
Aisee nilimpenda mshichana kitu kilikuja kunikata moto siku ananielekeza menu ya kukopa Salio halotel niliogopa mno *149*63#
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc. Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity...
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
12 Reactions
96 Replies
6K Views
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa. Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
3 Reactions
14 Replies
964 Views
Habari, nipo Arusha natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 28 hadi 37 tuishi na tuzae mtoto, sichagui Kabila wala dini. Asiwe mlevi, mvivu. Alie serious anifuate inbox
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Vigezo Awe na 38-45 Dini yoyote Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm Mimi Umri 30 Ninajishughulisha Nina mtoto Naishi Dar Mengine tutaaambizana
13 Reactions
77 Replies
6K Views
Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali. Hapa naweka dalili za wanawake...
15 Reactions
79 Replies
9K Views
Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana[emoji16], sijui wakoje.
15 Reactions
93 Replies
12K Views
Kaeni mkijuaa wazazi hatuachani huwa tunatengana tuuu na tukipata nafasi tunaitumiaa vyema siwakatizi kuoa singles ila kaaeni mtambuee hilo tulio zaa hatuachani tunatengana tyuuu
5 Reactions
19 Replies
666 Views
Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta...
44 Reactions
105 Replies
6K Views
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba. Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko...
30 Reactions
198 Replies
11K Views
:: Msomi (at least Masters in progress) :: Pesa (sio za mawazo) :: Umri (at least 30+) :: Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha...
2 Reactions
128 Replies
9K Views
Back
Top Bottom