Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ushauri Kama kuna mwana j.f naye kapitia hili janga maana kuna rafiki angu ana hilo gundu muda sasa kaniomba ushauri hajui afanyaje wakati mimi kila siku napata wapya
11 Reactions
352 Replies
30K Views
Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani...
3 Reactions
6 Replies
793 Views
Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀...
2 Reactions
2 Replies
329 Views
Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako...
2 Reactions
4 Replies
610 Views
Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
1 Reactions
4 Replies
497 Views
JINSI YA KUMFIKISHA MKEO MSHINDO WAKATI WA TENDO LA NDOA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ni kiumbe anayehitaji Sanaa yàani ufundi ili uweze kuishi naye Kwa Amani. Tunapozungumzia Sanaa...
22 Reactions
179 Replies
31K Views
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni...
18 Reactions
65 Replies
3K Views
Nahitaji msichana wa kuwa na mahusiano nae ila sijui pa kuanzia. Sio kwamba sijui kutongoza ila naogopa kukataliwa. Muda mwingi wa maisha yangu nimeutumia kwenye masomo sana sasa baada ya kumaliza...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk...
0 Reactions
16 Replies
895 Views
1. Awe na pesa nyingi 2.Siyo lazima awe mzuri wa sura 3. Ajenge ukweni 4.Awe mpole 5.Asimuonee wivu mke wake 6.Awe mwenye upendo wa dhati 7.Asishike simu ya mke wake. 8.Akimkuta na...
7 Reactions
99 Replies
11K Views
Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto) Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke" Tupeane maujanja ni vitu...
1 Reactions
101 Replies
18K Views
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu. Kaa na msimamo...
8 Reactions
14 Replies
638 Views
Nasemaje Nasemaje! 1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi 2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana 3. Mwanaume kama unastruggle...
13 Reactions
244 Replies
16K Views
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto...
8 Reactions
144 Replies
5K Views
Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Hili jambo Huwa linanishangaza Sijui Huwa ni pepo au vipi Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari...
29 Reactions
215 Replies
11K Views
Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa...
17 Reactions
112 Replies
4K Views
1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji...
21 Reactions
389 Replies
30K Views
Naomba kufundishwa jinsi ya kuandika barua ya posa. Je ni vitu gani muhimu vya kuzingatia? Ni mfumo gani wa barua ya kuandika, ya urafiki au kikazi? Je waweza tuma email kama barua ya posa au...
2 Reactions
89 Replies
107K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…