Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu getho limeshatimia kama linavyoonekana hapa. Yani amekosekana mrembo tu kwa sasa. Naomba baraka zenu wakuu nifanikishe jambo langu hili.
12 Reactions
116 Replies
5K Views
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
62 Reactions
167 Replies
10K Views
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila...
22 Reactions
109 Replies
5K Views
Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na...
8 Reactions
76 Replies
3K Views
Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae...
2 Reactions
3 Replies
740 Views
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU! Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu...
5 Reactions
82 Replies
7K Views
Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa. Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki. Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari yenu wakuu, Haya mambo ya mapenzi yana uwanja mkubwa sana. Na kila mtu ana mapito yake kwenye hili swala. Kufika kileleni kwa mwanamke imegundulika sio wote wanafika kileleni, niwachache...
14 Reactions
113 Replies
29K Views
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi. Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe? Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma...
15 Reactions
73 Replies
6K Views
Wakuu hivi mwanamke anakua danger days kwa sku ngap maan nimeambiwa atakua danger days had January. Je sipigwi kwel hapa?
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Hapa Sina maelezo mengi Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo...
39 Reactions
192 Replies
7K Views
Katika enzi hizi za usawa wa kijinsia, ni muhimu kuchunguza kwa kina mabadiliko yanayohitajika katika uhusiano wa kimapenzi. Ni muhimu kuzingatia kwamba uhusiano wenye afya unajengwa juu ya msingi...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Nilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa. Kila akipata mwanaume hafiki nae...
48 Reactions
214 Replies
9K Views
Leo nimemsikia wife akiongea na boss wake namna alivyokuwa anamjibu kwa heshima may be hapa nyumbani pangekuwa hata robo tu ya anavyoongea tungekuwa Bora Sana
13 Reactions
60 Replies
2K Views
Habarini wapendwa, Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi...
21 Reactions
212 Replies
6K Views
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa .. Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my...
21 Reactions
137 Replies
6K Views
Back
Top Bottom