Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri. Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au...
24 Reactions
137 Replies
12K Views
Wakuu Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu Natafuta mume sio mpenzi SIfa zangu 1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi Sio mnene wala mwembamba Nafanya kazi na Nina kipato...
46 Reactions
301 Replies
12K Views
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro. To cut long story short, Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything...
31 Reactions
230 Replies
7K Views
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa...
22 Reactions
128 Replies
5K Views
5 Reactions
75 Replies
7K Views
haaaa no ventilation
1 Reactions
8 Replies
4K Views
.....si shaka kwamba ndugu/marafiki/jirani wa karibu nawe ndo watafunao tunda lako...(wakuchukuliao mwenza wako)...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari rafiki, Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni...
13 Reactions
147 Replies
4K Views
Natafuta mchumba anayemcha Mungu. Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe...
1 Reactions
2 Replies
817 Views
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au...
1 Reactions
2 Replies
982 Views
MKO WAPI MPENDAO ? 1. Hayapo tena mahaba Ja alivyosema Kiba kila mahali msiba Mko wapi mpendao ? 2. Wasasa ni vibweka Amani ni heka heka Si mbwa ila wabweka Mko wapi mpendao ? 3. Kupendwa ni...
2 Reactions
6 Replies
409 Views
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona. Kama ww ni kijana...
31 Reactions
57 Replies
3K Views
Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao.
3 Reactions
3 Replies
331 Views
Katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya, niliamua kutumia muda wangu kwa njia tofauti. Katika pita pita zangu jijini, niliamua kutembelea "kijiwe" cha marafiki zangu maeneo ya Ubungo, mahali...
4 Reactions
2 Replies
581 Views
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba. Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea! Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Binafsi nilimpata mdada mmoja ivi,, Mtoto pini ya hatari, shepu kama kajiumba mwenyewe. Ebhana eeh,, siku ya mechi ilikua ni balaa bluuu. Papuchi ndogo kama ya mtoto sasa na hilo joto, kila...
39 Reactions
386 Replies
87K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa. Nikipiga simu anasema amechoka...
8 Reactions
433 Replies
49K Views
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe...
38 Reactions
322 Replies
15K Views
Copied and Pasted [17:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja, hakuniuliza nini wala...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo: 1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha: Atazingatia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…