Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni vitu gani vya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye mahusiano? Ndoa kwa ujumla nielekezeni wakuu nisije nikajichanganya ni mambo gani ya muhimu kuzingatia kabla ya ndo? Mchango wenu
0 Reactions
10 Replies
162 Views
Wakili Richard Manyota amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na kutambulika na jamii kama wanandoa wanaweza kutambuliwa kisheria...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
AINA TISA (09) ZA LIMBWATA ANALOTUMIA MWANAMKE KUMLOGA MWANAUME Mwanamke ndio binadamu wa kwanza kabisa kuongea na Shetani face to face na hatujui waliongea mambo gani mengine tofauti na ile ishu...
24 Reactions
236 Replies
62K Views
Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii: Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya. Kwa mfano...
2 Reactions
10 Replies
183 Views
Habari zenu wakulungwa. Ukiwa kama baba,mara baada ya kupata mtoto na mkeo,ni ugumu gani huwa unaupata kuweza kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi mnapokuwa mnalea mtoto wa miezi 2 hadi miaka 2...
3 Reactions
16 Replies
303 Views
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa...
36 Reactions
344 Replies
16K Views
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
72 Reactions
6K Replies
1M Views
"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu." Kipindi unakuwa uliwahi kusikia...
23 Reactions
61 Replies
2K Views
Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa...
51 Reactions
4K Replies
203K Views
  • Redirect
1. Anachukua sauti ya demu anae mtaka anaitengenezea sauti ya maneno ya mahaba kulingana na fantasy zake kazi imeisha. 2. Anachukua picha ya demu anae mvutia kisha anaivua nguo au anaigeuza...
0 Reactions
Replies
Views
Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante...
3 Reactions
8 Replies
247 Views
Hakuna mwanaume yeyote duniani aliyetajirika kwa mapenzi, ila wapo wanawake waliotajirika kwa mapenzi. Wapo wanaume wengi waliofilisika kwa mapenzi, na pia wapo waliopoteza kazi na muelekeo wa...
13 Reactions
79 Replies
713 Views
Hii Story nimeipata mahali Baada ya kusoma mpaka Mwisho Kuna kitu nimejifunza Kwa Hawa Mapaster au wachungaji....soma tudiscuss Kwa Kina PART 1 TABIA ZA MUME WANGU ZILINICHOSHA ANAANZA...
7 Reactions
29 Replies
6K Views
Kwanza alianza mwamba kabisa Baltazar Egonga, sasa hivi kuna huyu mwamba anaitwa Jonasi wa kwenye show ya "The Polygamist" yaani huyu ndio kapiga msumari wa mwisho Wanawake kwa sasa wanatuogopa...
3 Reactions
1 Replies
157 Views
Habari wana JF na Poleni na kazi wakuu, katika jamii ninayo ishi kuna baadhi ya familia ya mke na mume hupata kuishi ndani ya ndoa hata kwa miaka 3,4-5. Na unakuta hawajapata mtoto hata 1...
1 Reactions
14 Replies
213 Views
Wakati mimi kaka yenu naoa mke wangu hakuwa hata akiweza kutizama watu usoni. Alikuwa anaona aibu hasa na alilia sana alipoagana na wazazi wake. 1. Alijua kuwa sasa usiku huo anaendwa kushiriki...
2 Reactions
1 Replies
104 Views
Mapenzi siyo kitu cha kuamini, ni kama majira, yanaweza badilika muda wowote. Usiupe moyo wako wote kwenye mapenzi, jua mapenzi ni sawasawa na majira kuna wakati wafuraha na huzuni.
6 Reactions
30 Replies
465 Views
Ladies punguza kuringa kuna siku utazeeka afu wale mahandsome au wenye hela unaowapenda waliokupendea sura watakuacha watahamia kwa pisi zingine za wakati huo, sa sijui utakua mgeni wa nani on...
4 Reactions
15 Replies
241 Views
  • Closed
Kwani mbona wanaume wakizungu wanasuka na wanavaa hereni, yaani wanafanya wapendavyo. Kwanini sisi Watanzania tunanyimwa uhuru wetu? Mtu afanye anachokipenda tuache utawala.
4 Reactions
72 Replies
1K Views
Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea...
17 Reactions
63 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…