Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii...
1. IT WON’T LAST FOREVER
When you’re having tough times with your partner, it can feel like it will never end. But remember, things will get better! Look back at happy memories together to remind...
Habarini wana jukwaa.
Mwanzoni mwa mwaka jana (December 2024) wazazi wangu walinishauri tutume wawakilishi waende nyumbani kwa wazazi wa mchumba wangu kwaajili ya utambulisho.
Japokua Binti...
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana...
Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K)...
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399
Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati...
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu...
Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi...
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo...
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta...
Wanaume 🥴
Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾
Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza.
Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi.
Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi...
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna...
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza...
Kuna ka upepo ka Ulimbukeni ambako kanaendelea kuwapitia hawa watoto wa kike.
Kwasababu tu yupo TikTok, IG ana followers wengi n.k, tayari hujiona kichwani kwake anahitajika kuliko chochote, na...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi...
Asee wagonga ulimbo ( vijana tunaojitafuta) tuyaogope sana mapenzi ..
Nimeshuhudia wagonga ulimbo wengi sana wakishindwa kufikia malengo yao kwa kuendekeza mapenzi .
Mapenzi yanavuruga sana...
hi naitwa intelli, waweza niita raisi wa ma jobless pro max.
"Looking for a genuine connection to a certain genuine Lady to build a meaningful relationship with"
Kiumri nina miaka 25, Mimi ni...
Inaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni...