Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi. Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani...
21 Reactions
213 Replies
14K Views
Wakuu kutokana na shughuli zangu nimekuwa nikikuta na kila aina ya wanawake wazuri kiasi cha sasa kila mwanamke hata awe mzuri kiasi gani namuona wa kawaida sana sijaona mwanwmke wa kunitetemesha...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
"Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana." MITHALI 18:22. Wapendwa nilitaka nipotee kimya kimya, ila kwa namna hii ID yangu ilikaribishwa kwa upendo na kwa upendo nilionao...
60 Reactions
749 Replies
29K Views
Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel. Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa...
61 Reactions
450 Replies
24K Views
Wakuu wa baraza heshima kwenu, Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee...
12 Reactions
223 Replies
20K Views
Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
11 Reactions
180 Replies
10K Views
Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu...
16 Reactions
131 Replies
12K Views
Humu kusema kweli wazee wamo wengi sio me au ke sema me wanawasema ke sana kuwa wao niwazee. Basi bhana mie nafurahigi kuona vizee vinapigiania vizee vyenzao πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… halafu wale wadada wanaokaribia...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Ijumaa Kareem! Malalamiko mengi mno nimesikia vijana wanalalamika mara nyuchi zinalegea, mara hawasisimki wakiwaona wanawake hata makalio yakiwa wazi na kadhalika. Kwanza jueni yafuatayo; 1...
27 Reactions
204 Replies
12K Views
Katika pitapita zangu za hapa na pale katika kila post za watu tofautitofauti. Nimegundua wanaume na wanawake wa humu wanaendekeza ngono sana. Haswa hizi posti za MMU utakuta watu wameposti...
11 Reactions
93 Replies
5K Views
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia...
29 Reactions
72 Replies
30K Views
Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Hello jamiiforums Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka...
3 Reactions
4 Replies
538 Views
Katika maisha Mungu ana kanuni ya kukupa yule unaefanana nae, hata kama unafanya mambo kwa Siri kiasi gani jua kabisa ulienae unafanana nae. Kama wewe ulikuwa mzinzi fahamu kuwa upo na mzinzi...
2 Reactions
5 Replies
541 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Naishi Morogoro Dini mkristo Kazi ni mwalimu Mke awe na sifa hizi; Mrefu kiasi Awe na kazi sio golikipa Miaka 20_27 Awe na tabia njema Ukiwa na sifa hizo...
1 Reactions
10 Replies
975 Views
Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali . Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia...
1 Reactions
1 Replies
379 Views
Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia . Awe mrefu wastani. Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema . AWe anajisitiri . AWe...
2 Reactions
8 Replies
723 Views
Weekend yenu vipi, Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake...
13 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto? We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda...
74 Reactions
224 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…