Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii kitu inanishangaza sana. Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga. Ni kwa...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Fahamu sababu zenye kufanya ûnampenda sana mtu ambaye hakutaki kisha hauna hisia zozote kwa mtu ambaye anayekupenda na kukuthamini. Huwa inatokea sana katika maisha ya kila siku.Mtu ambaye...
2 Reactions
10 Replies
712 Views
Wakuu habari zenu.. Leo naomba kuongelea swala moja hivi ambalo mie nahisi ni udhalilishaji wa mwanamke kwa kiasi kikubwa, nacho ni MTUNGO... MTUNGO ni hali ile ya mwanamke kufanya mapenzi...
2 Reactions
103 Replies
48K Views
Habari zenu wana janvi!!,naamini mko Salama mkiendelea kuisaka shilling ya jiwe... Japo ni ndefu kidogo,Tafadhali soma ili unisaidie..... Mimi naitwa Emma mkazi wa Dodoma.Kipindi Niko form three...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann Nikigundua tu wadada flan...
4 Reactions
76 Replies
10K Views
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa 1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha...
51 Reactions
172 Replies
15K Views
Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam, Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata...
14 Reactions
46 Replies
4K Views
1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako. 2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati 3: Usitumie...
21 Reactions
61 Replies
7K Views
Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi. Mchina kama anaweza fanya hii pia...
7 Reactions
207 Replies
25K Views
Habari zenu mabaharia, Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kipindi tupo likizo form six ila tulikua tumebaki shule kuna ka dem ka form four shule jirani kalikuja kutuomba tue tunakafundisha tukakubali tukawa tunakafundishia room.Siku mmoja kamekuja kula...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Huyu dada mtu mzima alikuwa anafanya kazi ofisi moja ya serikali ipo katikati ya jiji la dar es salaam manispaa ilala. Alikuwa dada mtu mzima mzuri wa sura na umbo la haja. Boss wake mara nyingi...
4 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari ndugu zanguni, ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake...
49 Reactions
197 Replies
19K Views
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake. Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu...
23 Reactions
200 Replies
9K Views
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na...
80 Reactions
255 Replies
10K Views
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America? Kama ni africa mnazingua. Sheria za wenzetu zinawabeba wanawake,mkiachana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake. Ewe kidume...
2 Reactions
17 Replies
573 Views
Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,. Maisha...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Waungwana shida ziko palepale! Twendeni kwenye mada Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana...
8 Reactions
211 Replies
14K Views
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko, Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…