Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani. Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Habar wana jf. Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Mapenzi bwana. Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana. Katika...
52 Reactions
155 Replies
12K Views
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana. Usikatae...
26 Reactions
81 Replies
4K Views
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo! Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol. Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii! Wakuu ni jinsi...
25 Reactions
240 Replies
10K Views
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona...
13 Reactions
66 Replies
2K Views
Wako wapi wanawake wife material?
13 Reactions
201 Replies
5K Views
Mambo zenu. Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation. Naombeni Ushauri.
16 Reactions
273 Replies
9K Views
Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna...
25 Reactions
268 Replies
10K Views
Mume wako Alipe Kodi Anunue chakula na mavazi Alipie billis za umeme , maji na hospital Ada za shule watoto Akupee pesa Bado anakomaa aweke akiba kwa ajili ya maendeleo yenu. Na kitandani awe na...
2 Reactions
8 Replies
472 Views
Bila salamu. MTAANI. Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu. Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya...
31 Reactions
324 Replies
12K Views
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Kuliko mabinti, wasichana na wananawake pekee kujaza makanisa na masinagogi wakitafuta wenza na wachumba kwa maombi na maombezi kwenye nyumba za ibada, Uko umuhimu wa kufanya kongamano la kitaifa...
5 Reactions
9 Replies
583 Views
Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!. Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu...
13 Reactions
59 Replies
2K Views
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata...
12 Reactions
105 Replies
8K Views
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na...
51 Reactions
348 Replies
15K Views
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka...
26 Reactions
163 Replies
6K Views
Binafsi nilikuwa namkubali sana enzi hizo. Ila changamoto moja ilipekeaga kuachana naye, yaani alikuwa anapenda sana ku-flirt (kuchekeana chekea) kupitiliza na kila mtu especially wanaume. Yaani...
15 Reactions
452 Replies
82K Views
Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…