Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika...
2 Reactions
2 Replies
348 Views
Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu. Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k, nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia...
16 Reactions
112 Replies
4K Views
Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Wakuu habari Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako. Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi. Ikitokea mtu amekuja kwako...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Kama uzi wangu niliyowahi kuutoa kuhusu kukutana na mrembo wa Malta Niliondoka tarehe 12 February na Qatar air na kufika tarehe 13 Malta airport na baada ya taratibu zote za uhamiaji...
41 Reactions
273 Replies
49K Views
Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity? Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei...
11 Reactions
125 Replies
4K Views
Kiuhalisia hakuna anayependa kuishi na mwenzi wake mbali mbali, mnapokuwa kwenye mahusino ni muhimu mkawa pamoja, lakini kuna muda inatokea maisha yanawatenganisha kwa muda, katika hali hii ni...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Nataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!? Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha...
22 Reactions
227 Replies
8K Views
Na hili huwakuta sana wakiwa wangali bado wana umri mdogo.Kwa mfano jirani kwetu kulikuwa na familia moja Walijaaliwa Watoto watano wa kike, na wote warembo, tofauti ilikuwa rangi tu (complexion)...
1 Reactions
0 Replies
466 Views
Regards wakuu MMU, there comes a time ambapo baada ya kuzunguka huku na kule finally unajikuta moyo wako umetua kwa mtu mmoja ambaye umetokea kumpenda kwa dhati and God willingly unawish one day...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Last two weeks nilikua na miadi ya kukulana na pisi moja kali sana,lkn ghafla nafsi ikakataa kulana nae..nilivyomwambia demu ghafla akaanza kunichukia eti kwa nini nimekataa kumla nilikua namchora...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana… Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana...
3 Reactions
11 Replies
560 Views
Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana. 1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo, 1. Wakati wa kukupa mimba. 2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu. 3. Wakati wa matunzo ya...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi. Eti leo tena nimeachwa Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini? Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si...
56 Reactions
255 Replies
9K Views
Wakuu, Huu ni uzi wa wote, tupeane changamoto mbalimbali tunazopitia sisi ambao bado hatujaoa au kuolewa, au ulioa au kuolewa ukaachika. Hata wewe ambae upo kwenye ndoa ipo siku utaachika hivyo...
1 Reactions
14 Replies
616 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…