Wanajamvi habari za week end....hope tuko pamoja.kazi ndo utu na Overtime ndo mtindo mmoja.
kuna rafiki yangu tunafanya nae kazini,yamemtokea,alijifanya mjanja sana kuwa hachuniki kwa wadada...
Inategemea kua hio shida ni of what nature.... Kuna ile kama inahusiana na chakula ndani, anaona tu aibu kusema nenda angalau kwa wazazi kaombe unga kidogo tumekwama... anaona bora akwambie kua...
Leo pitapita yangu humu mmu nikakutana Na kitu hiki
..
nazitafuta sana sex toys za mwanaume.. yaani 'uke' wa bandia. madem mizinguo wanataka mafedha sana afu wana dharau,, hadi akianza kuchuja...
Akiingia ndani kama upo sitting room ata behave hivi.
1. Atapitia mlango wa jikoni na kuanza kuongea na house girl kwa upendooooooo sababu anafuraha
2. Atakusalimia haraka haraka na kukimbilia...
jaman nashindwa fanya maamuz niwe na nani kati ya hawa wawili, m1 ameenda shule na ana degree ya accounts ila hana pesa na wala hajawah hata kunpa kazawad ila hyu mwngne hana elimu ila pesa...
Heshima kwenu wakuu!!
Hili suala hata mimi binafsi linanishangaz sana....
Ninaishi na rafiki yangu Gheto( kichuo chuo) huu ni mwaka wa tatu sasa
Amekuwa akiniambia kuwa washkaji...
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.
Natafuta msichana mwenye umri wa kati ya 20 - 23 awe ni mchangamfu na msafi
awe na moyo wa upendo ka wote na mvumilivu alie na roho ya kuishi mazingira tofauti tofauti
Sifa zangu hizi hapa
1...
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe...
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya...
MARRIAGE ATTITUDE TEST FOR ASPIRING LADIES! Ladies, if u were to choose a HUSBAND exclusively out of the 9 options below, which one would u rather prefer?
1. Ugly but caring
2. Handsome but rude...
Mambo niaje wana MMU
Mwenye majibu na hii kitu naomba anisaidie.
Nina jamaa yangu ambaye ni marafiki wa muda mrefu sana,tangia tunakua na mpaka sasa na midevu yetu.
Ni mara nyingi ananitaarifu...
Nina iman kubwa sana kwa wadada ktk mazngra yote. A woman can mek thngs hapen jaman! Why dont we trust in these God given gift entrusted to us women! Hakuna k2 kinachoniuma kama kuona...
Si kwa sababu upo katika matatizo ya mahusiano yako ndiyo uache kama ilivyo. Penzi la kweli huwa katika muda wote, aijalishi kitu gani kimeingilia katikati.
Jifunze jinsi ya kutatua matatizo...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
IGWEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
WHITE PARTY ni kesho pale Kebbys watu classic tunaenda kujiachia kistaarabu! Nimelipa na nitatokea (Mimi sio mswazi i keep my...
Mimi nipo nje ya nchi na nategemea kurudi tanzania muda si mrefu. Nitafurahi sana kama nitapata msichana aliye serious na mahusiano ikiwezekana hadi future . umri awe na miaka kati ya miaka 19...
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa...
me ni kijana wa kiume nina miaka 24,makazi yangu ni jijini Mwanza,nimeamua kushea story yangu ili niweze kupata ushauri kwa
watu mbali mbali juu ya nini nifanye baada ya kutendwa katika kila...