JF mmu EMBU TUWENI SERIOUS Hapa

JF mmu EMBU TUWENI SERIOUS Hapa

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
Leo pitapita yangu humu mmu nikakutana Na kitu hiki
..
nazitafuta sana sex toys za mwanaume.. yaani 'uke' wa bandia. madem mizinguo wanataka mafedha sana afu wana dharau,, hadi akianza kuchuja miaka 28 ivi ndo wanaanza kujistukia.
Anyway, in short natafuta sana sex toy.. mwenye info anisaidie..

..

Wachangiaji wengi wamemkandya, kumponda, kumzegua, Na kumpa kila aina ya ushetwani mleta maada.. Lakini mie nikaona iko haja Bado kuuanzisha uzi mbadala Na Kama haikuhusu acha tu usichangie..Na hii inawahusu wanandoa wengi..

WANANDOA Wengi wanatendeana unyama sana ndani ya ndoa, kuongezeka kwa nyumba Za wageni Na huduma Za fasta-fasta ni matokeo ya majeruhi wa ndoa, wanandoa wanatofautiana, wanasalitiana Kwa sababu ya matatizo ya Ndani..

Kiutafiti flan Cha wanandoa wanaosaliti ndoa zao kinaonyesha msaliti hutembea Kati ya siku mbili hadi sita Na Customer mpya Kwa kutumia Zana (condom), Na baadae mazoea yakishashika Kasi ni pekupeku Na matokeo yake mbali Na magonjwa ni mimba zenye baba tofauti..

Lakini hali hii huchangiwa Na wanandoa kugeuza nyumba zao uwanja Wa matusi, kero Na magomvi ambayo huishia kulala Kwa kupeana migongo kila siku.. Jamani wanandoa chungu naongopa?

Sasa kulikoni kuisaliti ndoa, kulikoni kumrukia houseboy au housegirl, KWANINI kasiwepo haka KAMBADALA.. Anamwagilia huko then unachapa zako usingizi Na kesho ukifika job unapiga Kazi tu hakuna usumbufu wa kuandika MSG Wala kupigapiga cm?

Kufanya feli ya kujichua(masterbation) inalemaza misuli ya ubongo Na can result to dizziness Na mengineyo.. Mie nadhani hata Kama SIO sex toys what is another way to pizz without hayo manjia ya kufanya uasherati?!??
 
Wanaokuunga na kukupinga watakuja mda c mrefu,hebu vuta subira
 
Na pia wenye ndoa ndy wanaongoza kwa maambukizi ya ukimwi!..

Huko kote bosi mbali ninaamini bado kuna uwezekano wa kurekebisha mambo katika ndoa yako kabla ya kufikiria namna

nyingine ya kujiridhisha.
 
Mrudieni tu Mungu,kila kitu kinakuwa mteremko.
 
kaz kwako,even sex toys ni masterbation kama hujui.
That's why nikacomment at last page Kwamba Hata Kama SIO sex toys what is another safe way kuondoa mizigo ??
 
Tatizo halikimbiwi bali linatafutiwa njia za kutatua kuna haja gn yakutafuta njia mbadala na ambazo hazina hata tija!
 
duh 'wat iz zis'. Tabu tupu aiseee....
 
...wewe ndo unahitaji toy kumbe.!!
 
mimi bado sijafikia mambo hayo ya ndoa, ngoja nikae pembeni/.
 
Yap kweli mkuu...umenen vema...matatizo ya kununiana ndani ya ndoa n kero zisizoisha husababisha wengi tuchepuke nje aisee.........
 
leo pitapita yangu humu mmu nikakutana na kitu hiki
..


..

Wachangiaji wengi wamemkandya, kumponda, kumzegua, na kumpa kila aina ya ushetwani mleta maada.. Lakini mie nikaona iko haja bado kuuanzisha uzi mbadala na kama haikuhusu acha tu usichangie..na hii inawahusu wanandoa wengi..

Wanandoa wengi wanatendeana unyama sana ndani ya ndoa, kuongezeka kwa nyumba za wageni na huduma za fasta-fasta ni matokeo ya majeruhi wa ndoa, wanandoa wanatofautiana, wanasalitiana kwa sababu ya matatizo ya ndani..

Kiutafiti flan cha wanandoa wanaosaliti ndoa zao kinaonyesha msaliti hutembea kati ya siku mbili hadi sita na customer mpya kwa kutumia zana (condom), na baadae mazoea yakishashika kasi ni pekupeku na matokeo yake mbali na magonjwa ni mimba zenye baba tofauti..

Lakini hali hii huchangiwa na wanandoa kugeuza nyumba zao uwanja wa matusi, kero na magomvi ambayo huishia kulala kwa kupeana migongo kila siku.. Jamani wanandoa chungu naongopa?

Sasa kulikoni kuisaliti ndoa, kulikoni kumrukia houseboy au housegirl, kwanini kasiwepo haka kambadala.. Anamwagilia huko then unachapa zako usingizi na kesho ukifika job unapiga kazi tu hakuna usumbufu wa kuandika msg wala kupigapiga cm?

Kufanya feli ya kujichua(masterbation) inalemaza misuli ya ubongo na can result to dizziness na mengineyo.. Mie nadhani hata kama sio sex toys what is another way to pizz without hayo manjia ya kufanya uasherati?!??
hizo nyege za kulisex toy utazipataje? Kweli binadamu tumekuwa wanyama
 
HAHAHAAAAAAAA! Ndoa za .com burudani! Usiku Mume anavuta Doli lake kabatini anaanza kulishughulikia Mke nae anavuta zana zake!

Hahahaaaaaaaaa! Sipati picha ikitokea mtu awale chabo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom