Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
0 Reactions
78 Replies
8K Views
habari zenu wanaJf..... Leo katika pita pita zangu tukakutana na jamaa ambae hatumfaham kabisa alimwangalia shost af akaanza kama utani vile,..dada nimependa hizo ndevu zako!..nikatie basi hata...
0 Reactions
72 Replies
47K Views
Hello JF;
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto Najima mwenye umri wa miaka 6 ameozwa na baba yake mzazi nchini afughanistan. Najima anatakiwa kuchukuliwa na mme wake mwaka kesho atakapofikia umri wa miaka saba tu. Baba wa mtoto huyo...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Wana jf. Mwanzoni nilikuwa mbishi wa kuamini kama hii page inaweza kuunganisha watu lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mfupi nimeshapata watu watatu hapa mjini kwangu waliounganishwa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabinti wadogo wanachukuliwa toka mikoani nakuletwa Dar kwa minajili ya kufanya kazi za ndani wanasafirishwa Zanzibar ambako kuna mawakala wanao wasafirisha kwenda uarabuni kwa waarabu kwa ajili...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaonya wanaume wanaoleta mambo ya utani katika sehemu hii muhimu. Binafsi sijapenda kabisa na tabia yenu mnayoionyesha kwa wanawake/wadada. Kama hamna nia ya...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakati anaolewa na mumewe alikua ni mfanyakazi wa ndani (HG) wa rafiki yake waliekua wanafanya kazi pamoja,walikua ni wafanya biashara ya mazao ya nafaka. ' Mama huyu baada ya kuolewa alikaa...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
zaidi ya rafiki anahitajika awe mchamungu akiwa islamic itakuwa poa sana,elimu ya graguate or diploma itapendeza akiwa teacher au another job, age 25-28,asiwe anajichumbua,awe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mkaka, mwaminifu,nina umri wa miaka 42,namtafuta mdada mwenye umri kati ya 22-35 awe mpenzi wangu,napendelea wadada weupe,lakini wasiojikirimu (wasiojichubua)weupe wao uwe natural,au akiw...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Japo kuwa siku hizi hii kitu inapotea kwa kasi. Naomba waugwana wa Jf mtujuze. Nini sababu ya mwanamke kulia siku ya harusi. Je kuolewa ni mateso, kuto amini kama anaolewa. Embu tupeane mawazo.
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Mimi naitwa John Bumija,nasikitika kwa kumkosa mchumba kisa picha hazivutii,ndivyo nlivyoumbwa siwezi kujipiga rangi,nlizani mtanishauri kumbe ndo matusi,ntapeleka ombi langu kwa Mungu,mwanadamu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Umepewa taarifa kuwa mkeo wa ndoa kakaa na hawara yake bar, ile unafika pande zile unamsikia hawara yake akimwambia mkeo "beby chukua hizi laki saba kampe mumeo mwambie kesho ila ikifika mwisho wa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
A True Story... “When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I’ve got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina miaka28,nipo mpweke,me napenda mwanamke ambaye ni mrefu,awe mweupe kiasi,awe mwl wa shule ya msingi au sekondari,awe mwenyeji wa mkoa wa kilimanjaro,sifa zangu,mimi ni maji kunde,urefu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
natafuta mchumba,pia elimu iwe kuanzia kidato cha.iv na awe anajishughulisha ili tuweze kuya jenga vizuri mpaka kufikia lengo la kuitwa mke.tuwasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi naitwa John Bumija,nasikitika kwa kumkosa mchumba kisa picha hazivutii,ndivyo nlivyoumbwa siwezi kujipiga rani,nlizani mtanishauri
0 Reactions
0 Replies
914 Views
I have been considering this topic for some time now, my thing is there anything like a wife material??. ..can somebody define who is to be considered wife material???..Are good wives made from...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
I was actual watching THS investigationon TV and i really don't know why do women love to date men behind bars its crazy for really..Come to thinl about this right some of the men are actual on...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…