TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Mabinti wadogo wanachukuliwa toka mikoani nakuletwa Dar kwa minajili ya kufanya kazi za ndani wanasafirishwa Zanzibar ambako kuna mawakala wanao wasafirisha kwenda uarabuni kwa waarabu kwa ajili kuwaburudisha waarabu mawakala hao wakipemba wamekuwa wakimuuza binti bikra kwa dolla 5000/= wamekuwa wakisafilishwa na meli za mizigo.