Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Louisiana man claims ex-girlfriend 'stole sperm' Mr Hardin claims his ex-girlfriend "bluffed" her way to getting the sperm A man is suing a clinic in the US alleging his ex-girlfriend stole his...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"ZAMANI, mtoto akioa, basi mama anajua amepumzika kazi ya kupika, lakini siku hizi mwanao akioa, anajitenga. Hataki tena kukaa na wazazi wake. Na kwa kweli maisha ya mama yake na hata ya wewe baba...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Matokeo yake hayo Minibuzz
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Napenda kuwa na rafiki ambaye kwa mipango yangu mwisho wa siku ndio awe mchumba wangu,vigezo awe mwanafunzi wa chuo au mwalamu nawapa kipaumbele walimu kutokana na nature ya kazi zao kwani huweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najiulizaga sana hivi ni kwanini watu wakiwa wanangonoka wanazima taa? utakuta mko sehemu ambayo hakuna uwezekano wa mtu kuwaona lakini lazima mzime taa.
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari Jf? Kupenda visivyo vyetu. Hii ni tabia ya watanzania wengi. Mifano: watu wengi wanashabikia mashindano ya mpira wa nje kuliko ya hapa Tz, mwanamke/mwanaume hata akiwa mbaya vipi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za kazi wana MMU!Nadhani mko na weekend powa ikizingatiwa ndo mwanzo wa mwezi! Nina mpenzi wangu ambaye tumeanza nae mahusiano ni mwaka wa tatu sasa na mimi ndo mwanaume wake wa kwanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
:: Kweli Penzi ee Penzi lavunja udugu, Watu wakakorofishana Wakakosa kusikilizana, Penzi lavunja unyumba,Nimeyaona kwa Musa,Mwanameka umeleta maneno! :: Uliposikia Musa ameoa Kaoa mke wa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni mara kadhaa 2 nimekuwa nikiona hawa dada zetu, uvaaji wao wa kanga sio kabisa, cause wanazibana mno tena maksudi nasema hivyo kwa kuwa nishawaotea accidentally kama wawili hiv wanafungua kidogo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
0 REASONS WHY MANY RELATIONSHIPS OR MARRIAGES BREAK DOWN 1. Ego 2. Lies 3. Pride 4. Death 5. Poverty 6. Jealousy 7. Cheating 8. Rumours 9. Facebook 10. Ex- lovers 11. Insecurity 12. Disrespect 13...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hamjambo wa MMU, Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Utasikia eti,kabla ya kumuoa/kuolewa naye mchunguze kwanza.Au kabla ya kuamua kuishi naye,mchunguze kwanza. Vile vile,kabla ya kuchagua mchumba,chunguza kwanza. Mwanamke/mwanaume huchunguzwaje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana JF, hope mko salama na mnaendelea na majukumu yenu vizuri. Kwa wagonjwa, poleni sana Mungu awaponye haraka na kwa wenye matatizo mbalimbali, Mungu awafanyie wepesi. Back to the mada...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Imenitokea last friday nikiwa club wife akashtuliwa na wambea akaja mitaa ya saa 10 na kunikuta na demu. Alimpiga yule demu akakimbia. Home hakuna amani hapa napotezea sitting room kwani nikiingia...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimetumiwa ujumbe huu ambao nahisi una msg nzuri sana kwa wale wadau wa kutikisa kiberiti, Enjoy your week end, Babu DC!! DAWA YA MOTO NI MOTO, Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapi uko ndugu yangu.....Mbinguni au Kuzimu?
1 Reactions
0 Replies
569 Views
Rafiki yangu hapa ofisini yeye ni bikra anaoa hivi karibuni mwanamke bikra kwa mujibu wa alicho nieleza. Kitu ambacho nimebaini ndoa hizi huwa nzuri sana kwa wachumba wa jinsia zote. Ndoa ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 26 mwenye sifa zifuatazo; awe mkristo awe na elimu kuanzia kidato cha nne asiwe na mtoto na awe hajawahi kuolewa. Kwa alie tayari ani pm ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. kusema idadi ya wapenzi walio mpitia kuzidi watano. 2. Mimba au idadi za mimba alizo zitoa akiwa High School/College Nyingine ambayo unaifahamu
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…