Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu wakuu.ebana,kitambo flani nilikua na gal wangu ambae naweza kusema ndo nlikua nampgia mahesabu kama mambo yangeenda fresh ndo angekuja kuwa my life...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimemaliza my first degree of accounting and finance,kiukweli nahitaji msichana mtulivu wa kuja kuishi nae awe serious,mweupe asiwe mrefu sana,umri 18-22,awe mcha Mungu kama umekizi vigezo text me...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mom Cut 20 Years in a Week Using This 1 Weird Trick The second picture is taken exactly 14 days after the first. Notice the strong difference after applying theTru Visage & Pur Essance After...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Tokea utandawazi uchukue hatamu hasa kwa nchi yetu tendo la kungonoka limekuwa ka fashion katika kila idara hatakufikia ya kutoheshimiana katika marika yetu si mzee si mtoto kila mtu ana hemuka...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi hii concept ya uvumilivu huwa ina maana gani katika ndoa au mahusiano? Imagine mwanume ameshaku cheat na wanawake kama nane hivi na unawajua na ni wa uhakika sio wa kuhisi (still bado upo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Enyi mlio na akili nyingi, jamii yetu imejiwekea "utaratibu" uliojengeka kutokana na mazoea tu kuwa katika wawili wapendanao, kama watafikia kukubaliana wafunge ndoa, hasa ndoa za kidini, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalam. Mimi ni mdada naishi Arusha na nnasoma chuo,ada najilipia na nina mtoto mdogo. Nna msichana wangu wa kazi anaetokea Busaka iko Chato Geita. Huyu binti aliishia form 2 baada ya kukosa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazo la leo... KUWA NA BABA MASIKINI NI MPANGO WA MUNGU, ILA KUA NA BABA MKWE MASIKINI NI UZEMBE WAKO MWENYEWE. Tafakari
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rafiki wa kike wa kwenda naye lunch kila siku na awe na sifa zifuatazo; umri 25+ -35, awe mzuri wa sura na umbo, si mnene, awe mke au si mke wa mtu, awe anaweza kujilipia bili itakapobidi na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau baada ya kumaliza shule ya msingi, sekondari, A-level mpaka shahada ya kwanza (BSc. Agriculture General (SUA) Na kupata kazi sasa ninajipanga kumpata mwenza. Kwa sasa nafasi iko wazi kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
natafuta mume alie na miaka 40 na zaidi.awe ni mfanya kazi au mfanya biashara inayoeleweka.awe alifiwa na mke au alie divorced but kwa sababu maalum.mcha Mungu.kapa upo hapa dondosha email adress...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Helo wana jamii amani iwe nanyi,mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa muda wa miaka 2, nampenda sana na December mwaka huu nilitaka kumwoa.Wiki tatu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba mnisamee kwa nitakao wakwaza lakini hii ni dunia ya ushindani, kwa mdada ambae anahisi kwenye mahusiano yake kuna vitu anakosa au mwandani wake hatimizi mfano kwenda chumvini, kuliwa T...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
habari yenu wanajamii... ni matumaini yangu wote ni wazima...jambo langu ni moja,,,,tumekua tunaona post mbalimbali za kutafuta wachumba na wanadada wakitafuta waume......sasa kila mtu kma anataka...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Ee bwana siku moja, mi na rafiki yangu wa kike tukaenda Dharma Lounge kule Zanzibar. Ni club ndogo sana, yaani sio zaidi ya sitting room. It is a decent place na ma bouncer huwa makini nani...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Hivi mke wa mtu anapokuwa na urafiki mkubwa na wifi yake wenye same age au wameachana kidogo au kwa ndugu zangu waislam inapotokea mke mkubwa kuwa na urafiki mkubwa yaani ule wa kushibana na mke...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
/////////////////////////////////////////////////////////////////////////////////////////// \\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\
0 Reactions
2 Replies
1K Views
So what is the magic number? Is it one, three, 15 or like players over 1,000.How many lovers have you had before marriage? And does it matter?.In my experience, for most men and women, a number...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…