Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana. "Nalivua pendo by Mwasiti"...
6 Reactions
120 Replies
5K Views
Wachangiaji wakuu katika uzi huu ni wale ambao hatujapata bado mpenzi wa kumwambia hadi kifo kitutenganishe. Mimi nitililike moja kwa moja la moyoni, kiukweli huwa nikiona couple inayopendana...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba wanawake wengi si lazima kutafuta upendo au ndoa. ‎ ‎ Kwa hakika; ‎ ‎ Mara nyingi ni wanaume ambao wanatafuta wake na marafiki wa kike. ‎ ‎ Hata hivyo, kuna...
4 Reactions
17 Replies
939 Views
Nafanya research kidogo mnisaidie.. nahitaji majibu yenu ya Yes or No. Type Y if Yes, or Type N if No. Hapo ulipo unatamani mwenza mfundishane mapenzi, just hamu ya sex na mtu mwingine. kiasi...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Ditch your bad thinking and embrace positive thoughts for a happier love life. Photo: Kyrylo Ryzhov / Shutterstock Let's be honest, not everyone is a glass-half-full kind of thinker, especially...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu. Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine...
30 Reactions
123 Replies
11K Views
Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp...
24 Reactions
66 Replies
2K Views
Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela...
11 Reactions
58 Replies
2K Views
JAmani naombeni msaada wakujua ni wine gani nzuri kwa wapenzi . Ambayo mtu na mtu wake wataenjoy
10 Reactions
73 Replies
4K Views
Mpaka watu wameanza kampeini za "kataa ndoa" kwasababu ya changamoto wanazo kumbana nazo katika ndoa hususani kwa upande wa wanawake. Ila kuna watu wameweza kuishi kwa ndoa miaka 45 bila shida na...
9 Reactions
18 Replies
619 Views
Baba mtoto wangu ni mtu wa kusafiri sana anasafiri muda murefu sana started to date someone well things goes uncontolled hawezi kulala bila ya mimi,hawezi kula bila mimi tukajikuta tupo very close...
7 Reactions
253 Replies
24K Views
Kama unataka kuheshimiwa na bebez wa mtaani pote unapoishi just be busy with ur business , usiwe na muda wa kumtafta mtu asiekua na faida yoyote kwako Make sure unaponyanyua simu kumtafuta mtu...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwanaume aliekamilika, rijali(sexually active) kua na mwanamke mmoja na mmoja pekee ni ulemavu na unaweza kusababisha magonjwa makubwa kama saratani ya tezi na mwisho kupelekea kifo. Saratani ya...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka. Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa...
2 Reactions
135 Replies
15K Views
Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo ndio nmeamini kwamba mapenzi hayana fundi, Huyu demu nilikuwa nampa kila kitu kunako 6 kwa 6 ,kuanzia denda ,kumyonya k mixer kumterorize (Katero) lakini wapi eti jana jioni nimemfuma...
9 Reactions
110 Replies
15K Views
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu "Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa...
100 Reactions
166 Replies
17K Views
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine Nisiwe...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari JF! Hivi kweli kuna wanaume washawai kutongozwa na wanawake humu JF watupe uzoefu wao ilikuwaje, walikubali au walikataa? Au wewe Mdada ushawai kumtongoza mwanamme je mambo yalikuwaje?
3 Reactions
99 Replies
17K Views
Niende kwenye mada. Unajuwa mila na desturi zetu za ki Afrika ni mara chache sana kwa jinsia ya kike kumwambia mwanaume kama anampenda.Mara nyingi mwanaume ndio tunao anza kuwatongoza hawa viumbe...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…