Wale tunaoshikwa na wivu au hasira tukiona couples/wapenzi, tukutane hapa

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
5,455
2,000
Wachangiaji wakuu katika uzi huu ni wale ambao hatujapata bado mpenzi wa kumwambia hadi kifo kitutenganishe.

Mimi nitililike moja kwa moja la moyoni, kiukweli huwa nikiona couple inayopendana sana huwa naona wivu sanaaa, nakua nawaza lini nitampata wangu wa ubavu, nimuoneshe mapenz na ulijali wangu nilionao tukiwa pamoja.
Yani natamani sana kumpata mpenz ambae tutaweka history jinsi tutakavyokua na mapenzi bashasha kabisa na kua mfano kwa wengine, kufanya kazi eneo moja au kufanya kazi ya aina moja na mwenza wangu ndio kitu pekee nimepanga kuja kufanya.

Kwa haraka haraka mimi best couple ninayoijua ni moja.. nitaweka picha yao chini ya huu uzi

Sasa nikiona zile kacouples zenye malinji linji huwa najikuta napata hasira tu. Nasikia Nandy anatukio huko dodoma, nilitune redio nikasikia bill nass anaongea, yeye sasa kama king wa huyo Queen wetu wa Africa ane enda kufanya show leo. Inshort billnuss choko mi simuelewi. Niliache hilo la billnuss huo ni mtizamo wangu.

Wakuu hebu tuoni mawazo yenu una hamu kiasi gani au wivu kiasi gani wakuja kufanya couple moja bora kabisa na yenye mfano wa kuigwa.

Screenshot_20200712-133652~2.png
 
tony92

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
828
1,000
Daaaaah......
Kuna jamaa angu hapa ana couple yake mara nyingi namsindikiza wanapokutana unakuta wao wako busy huko mi niko na simu naperuzi JF.
 
cute eyes

JF-Expert Member
May 8, 2019
1,917
2,000
Wachangiaji wakuu katika uzi huu ni wale ambao hatujapata bado mpenzi wa kumwambia hadi kifo kitutenganishe.

Mimi nitililike moja kwa moja la moyoni, kiukweli huwa nikiona couple inayopendana sana huwa naona wivu sanaaa, nakua nawaza lini nitampata wangu wa ubavu, nimuoneshe mapenz na ulijali wangu nilionao tukiwa pamoja.
Yani natamani sana kumpata mpenz ambae tutaweka history jinsi tutakavyokua na mapenzi bashasha kabisa na kua mfano kwa wengine, kufanya kazi eneo moja au kufanya kazi ya aina moja na mwenza wangu ndio kitu pekee nimepanga kuja kufanya.

Kwa haraka haraka mimi best couple ninayoijua ni moja.. nitaweka picha yao chini ya huu uzi

Sasa nikiona zile kacouples zenye malinji linji huwa najikuta napata hasira tu. Nasikia Nandy anatukio huko dodoma, nilitune redio nikasikia bill nass anaongea, yeye sasa kama king wa huyo Queen wetu wa Africa ane enda kufanya show leo. Inshort billnuss choko mi simuelewi. Niliache hilo la billnuss huo ni mtizamo wangu.

Wakuu hebu tuoni mawazo yenu una hamu kiasi gani au wivu kiasi gani wakuja kufanya couple moja bora kabisa na yenye mfano wa kuigwa.

View attachment 1504523

ata mi naipenda couple ya njugush saana
 
Unicorn

JF-Expert Member
May 30, 2020
392
500
Mapenzi ya mtandaoni ni maigizo wala yasikupe stress watu wanaigiza mno.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom