Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Habari za wikiend wanabodi, ningependa tushare pamoja hii mada kwa kuangalia uhalisia tulipo na tulikotoka.

Tulikotoka licha idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake, mme mmoja alikuwa anaoa hata wake watatu na wote walikuwa wanapendana na kuishi kwa umoja na ushirikiano.

Tofauti na sasa, wanawake wengi hawapendi uke wenza licha ya idadi yao kuwa kubwa kuliko wanaume. Nini tatizo?

Nawasilisha tupate michango hasa kwa kina mama. Mojawapo ya sababu kubwa inaweza ikawa ni magonjwa, lakini hata tulikotoka magonjwa yalikuwepo tena hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko sasa. Karibu.
 
Mapenzi bwana yana asili ya ubinafsi asikuambie mtu!

hata wale wanaodate na waume za watu sio kama hawaumii wakiona Mr &Mrs wako pamoja..

Wanaumia sana ndo maana saa ingine unakuta mchepuko,unaanza kumfanyia vurugu mke mkubwa au kutaka kujimilikisha yy mume wa mtu!.
 
wanaume sana ndo maana saa ingine unakuta mchepuko,unaanza kumfanyia vurugu mke mkubwa au kutaka kujimilikisha yy mume wa mtu!.
so tukubaliane maadili yamepotea sana maana zamani hata wivu ulikuwepo ila at least mwanaume akiwa na mke zaidi ya mmoja anakuwa anatambulika katika jamii ila kwa sasa michepuko imekuwa mingi kwasababu ya nyumba za kupanga? Tunaweza kusema nyumba za kupanga zimeathiri maadili ya ndoa hizi na kuzifanya kuwa za siri sana? Mwanamke anajua kabisa yule ni mme wa fulani ila anazaa nae halafu mwanaume huyo anampangishia chumba na kumhudumia kwa siri maisha yanaendelea.
 
Suala sio maadili kushuka kivile....
japo laweza kuchangia pia!

Zamani ndoa zilikua ndoa ajira sasa hivi wake kwa waume wote wanachakarika vibaya mnoo!!

Wazazi wetu walikua wanafundishwa kuti waume zao kwa moyo mmoja toka wakiwa watoto..

Sasa hivi mzazi anakupa elimu anakuambia'nakusomesha ili uweze kujietegemea na usiweze kubabaishwa na mwanaume yoyote yule'

Na wanaume nao pia wanachangia hili kuna wengine wana imanj za ndoa ya mke mmoja Ila mtu anavunja kiapo na kuanza kutanga tanga na michepuko!

Kuna imani zingine unaambiwa'oa wanawake unaowapenda'
 
maana yake tumeondoka kwenye misingi ya ndoa kwa kutoyatii maagizo ya Mungu na kufuata utandawazi?
 
Mwanaume mmoja hanitoshi aisee...

Nataka mmoja VERY HANDSOME and SEXY, huyu ndo nitatoka naye kwenye functions kuringishia.

Halafu nataka mwingine anayechekesha yani nikiboreka tu namfwata.

Halafu nataka mwingine mwenye dushe iliyoshiba sipendi ujinga kwenye starehe zangu

Halafu nataka mwingine THINK TANK yani very intelligent huyu ndo ntamshirikisha mipango yangu.

Subiri nitafute pesa lazima niweke wote ndani.
 
haya nayo umeyarithi ama umebuni ya kwako kinyume na kusudi la Mungu la kukuumba?
 
maana yake tumeondoka kwenye misingi ya ndoa kwa kutoyatii maagizo ya Mungu na kufuata utandawazi?
ndivyo ilivyo mwingine imani yake inaruhusu wake wengi Ila bado anachepuka

sasa ukijiuliza sana unagundua ni hulka tu za kibinadadamu wakati mwingine!!
 
Mapenzi bwana yana asili ya ubinafsi asikuambie mtu!

hata wale wanaodate na waume za watu sio kama hawaumii wakiona Mr &Mrs wako pamoja..

Wanaumia sana ndo maana saa ingine unakuta mchepuko,unaanza kumfanyia vurugu mke mkubwa au kutaka kujimilikisha yy mume wa mtu!.
Hii tabia ya kuondoka kitandani kabla hujaniamkua umeianza lini??
 
Back
Top Bottom