Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Ndugu zangu Tarehe 6 April nitakuwa nikifunga pingu za maisha ( naoa).
Bado siku tisa tu nitakuwa na familia yangu
Bado siku tisa tu ambazo huyo...
Wakuu salaam.
Kama heading itakuwa tofauti na mada hapa chini, naomba mniwie radhi.
Kwa kifupi sana, miaka ya 2000 mwanzoni kuna jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu na enzi hizo ndo tulikua...
Kwa mara ya kwanza jana nimeshuhudia kwa macho yangu kitu ambacho nilikuwa nakisikia tu.
Hivi mnawafahamu dunga dunga nyinyi
Jana natoka zangu kariakoo naelekea mbagala. Nashukuru Mungu nilipata...
Heshima kwenu wakuu. Ni takriban miaka 2 sasa nikiwa na mahsiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye nathubutu kusema ni mzuri na mrembo. Pamoja na hilo, imekuwa ikiniwia vigumu sana kumuelewa...
Aiseeh! Wanaume nimechoka!
John na Jeff walikuwa majirani na marafiki mpaka wake zao wakawa mtu na dada yake. John akaharibu akawa mpenzi wa mke wa Jeff jina lake ni Jessica. Mapenzi kikohozi...
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua...
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 24 so kutokana na ubize wa kaz ninayo fanya cna muda hata wa kutafuta girlfriend wa kunifariji na kunishauli so ma aim ni kuangalia ndani ya jf kama yupo bac...
Wamezaliwa 8 tumbo moja baba mmoja mama mmoja .. miongoni mwao wapo waliofanikiwa elimu ya kutosha na kupata ajira yenye masilahi na marupurupu.... wengine wamejitosa katika biashara pia...
Ujumbe kama huu unaweza kuujibu vipi ikiwa umetoka kwa mpenzi wako na tena ikiwa hauna taarifa wakati anazikopa hizo pesa wala maelezo ya ziada zaidi ya huo ujumbe.
Habr zenu wakuu na wadogo pia,bt wote mtahusika kwenye huu uzi!
1-Kwanza kabisa napenda kuwauliza inavyosikika wapenz wanasema kuwa hatuta achana kwenye shida,miteremko na mabonde huwa mna...
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....
Eti wadau,siku ya 6 inawezekana...
Wadau hata iweje ni zaidi ya nusu mnaosoma hapa mmewahi kutengeneza kachumbari, ni vigumu sana kuimaliza kuitengeneza bila kuionja zen ukaiweka mezan kuisubirisha msosi, nini namaanisha sasa? mimi...
Mvua, baridi, upweke lohhhh....Mbona nina hamu ya kukumbatiwa!! Maana najiona nakakaa kwa baridi, sitaki joto la moto wa kuni,nataka joto la yule nimpendae.Joto la moto lasinyaisha ngozi, joto la...
Nilikuwa nina kama miezi mitatu tangu kuoa kwangu. Ilikuwa ni Juni 2005. Mke wangu alikuwa akiniamini sana na hata wazazi wake, hasa mama yake, kwani alinifundisha shule ya msingi, wakati akiwa...
Wasichana wa watanzania wanapenda kuhongwa, kutoka na wanaume wenye pesa na kutaka kuolewa na wanaume mambo safi huu ni ulimbukeni na ushamba ndo maana mahusiano ya namna hii uwahi kuvunjika...
Hello men,
Get these lesson for you understanding women body talks-tutusiwe tunafakamia
these are only big five wome body language;
1 - The Eyes
If her eyes are dilated or widely opened, that...