Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mim ni mwanaume mwenye miaka 23, Nahtaj mchumba wa kike ambaye age yake ni 18 to 25 ani pm tufahamiane vzr.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU!!!!!!! i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life, am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take...
11 Reactions
198 Replies
17K Views
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
A suicidal husband was saved after trying to leap from his bedroom window - when his wife grabbed him by his boxer shorts. Witnesses say Ling Su clung on single handed for 20 minutes before...
1 Reactions
0 Replies
736 Views
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Yes i'm Christian,a damn good one........!!!!!!!!!!! And i'm born again.......!!!!!!!!!!!! Najua kwa wale ambao ni wana dini sana hili linaweza kuwa gumu kwao,lakini kutokana na dunia tunayoishi...
10 Reactions
134 Replies
11K Views
Ni mdudu gani huyu? Je kuna kitu kama 'unconditional love'? Inakuwaje? Haina tofauti na being a Zombie? Kinyume chake ndio conditional love??????
9 Reactions
123 Replies
10K Views
Baada ya kufanikiwa kuwaletea Get Together Party ya kwanza na kuwakutanisha watu zaidi ya 200 pale PRINCESS HALL SINZA MAPAMBANO sasa tunawakaribisha tena kwenye semina ya Mahusiano itakayofanyika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Here goes my pal;Unamshaurije? I quote him in verbatim..excerpts "In the past 5 years I have seen him twice. Tunaishi wote hapa Dar. Hapokei simu zangu, wala sijui anaishi wapi,wala hajawahi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekuwa nasaka rafiki wa kike lakini dah, kila msichana ninayekutana naye nikimweleza yangu ya moyoni kiukweli anakuwa mbishi, haambiliki, hasikii! Mara nina mchumba, mara oh, sitaki...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Ni rafiki yangu ambaye tulisoma wote shule ya msingi, tumekutana huku Dar akaniomba nimsindikize sehemu kupeleka barua ya posa kule Manzese kwa familia moja hivi ya kizaramo. Kabla barua...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wana-JF, bila shaka mu wazima wa afya. Nimekuja mbele yenu wanajamii wenzangu nipate ushauri kwani naamini mbele yenu great thinkers haritaharibika jambo, Nisiwachoshe sana ni hivi...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Fwd: The 90-10 Principle Its long, but worth reading when you have time. The 90-10 Principle Discover the 90/10 Principle. It will change your...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Jirani yangu kaenda kunywa pombe, kumbe ana majini. Majini yamepanda yanajitambulisha kuwa ni bibi zake (kwao huko Msumbiji) . Mabibi hao wanataka binti huyo arudi kwao Msumbiji, wanataka...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Ndoa ya watu wa aina hii hudumu kwa miaka dahari... Ndoa nzuri kabisa ambayo mimi naamini kwamba inaweza kudumu, ni ile ya kati ya mwanaume kiziwi na mwanamke kipofu. Mwanaume hatasikia ghubu...
23 Reactions
83 Replies
8K Views
Wanawake mabosi walio wengi wamekimbiwa na waume zao na kuwaachia kila kitu, na wengine hawajaolewa kabisa na kama wakiolewa basi wao wanakuwa wameoa, Ndoa zao nyingi zinakuwa na migogoro sana...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu zangu wana jf.. Najua wengi wetu tumekuwa hudhuriaji ndoa nyingi katika misikiti na makanisani, may be kwa uelewa wangu mdogo ndogo unaposema unafunga ndoa asili ya neno hili ni ipi...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Students involved in vice at city nightclubs a worrying trendBy ELAN PERUMAL and STUART MICHAEL metro@thestar.com.It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners...
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Mwanamke kaenda chuo akakata mawasiliano na mshkaji wakati walikuwa ni wapenzi, akaja akarudi baadaye huku akiomba msamaha kwa tukio la kunyamaza jamaa akamsamehe dada akadai anashida amebiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikutana na huyu mschana kwa mara kwanza duka moja la mavazi ya wanaume Posta, Katika maongezi akinisaidia kuchagua nguo, anyways .. ni mtu ambaye kamaliza chuo mwaka uliopita na anafanya kazi saa...
0 Reactions
73 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…