I need a lady 4 long relationship

I need a lady 4 long relationship

Opticf

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
62
Reaction score
4
Mim ni mwanaume mwenye miaka 23, Nahtaj mchumba wa kike ambaye age yake ni 18 to 25 ani pm tufahamiane vzr.
 
Ushakuwa mwanamme mara hii? Sio mvulana tena?
 
tupe background yako
elimu, din,kazi na kipato kwa mwezi
tabia yako kiujumla!
mazima.
 
we unapenda ufupisho hadi heading hivi ungetoa hiyo 4 na kuweka for

ungepungukiwa nini
 
Back
Top Bottom