Wiki 2 zilizopitA NILIKUWA kAMPALA! NI LAZIMA TUKUBALI KWA KUNA MAENEO YALIPENDELEWA KUZALISHA WASICHANA WAREMBO! MCHANGANYIKO WA WAGANDA ,WANYAKOLE .WALIO ,WALANGI NA WENGINEO UNAPENDEZESHA JIJI...
Ukijua pendo ukaishi na pendo, ni vigumu sana kuja ishi bila pendo. Ukiweza...usivue pendo, maana kuishi bila pendo ni kazi kama mtu mzima kuishi bila kipato. Maisha bila ya pendo baada ya kujua...
hi jf, rafki yangu ana msichana wake(mpenzi wake) mchaga wa rombo, takribani ni mwaka mmoja sasa, juzi huyo msichana akamwambia mshikaji eti kuna jamaa mmoja aliekua anamtaka zamani kaenda...
Wadau poleni sana kwa kazi,habarini za Jioni.
Nimekuwa najiuliza sana na kuwaza kuwa wanawake ndo Mama wa Nyumbani,ndo anajua nini familia ile,yaani mlo kamili,Kwa jinsi hiyo,Kama mwanaume unataka...
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba...
Leo wakati natoka kwenye mihangaiko yangu,kama kawaida barabara za mjini zinauhusiano mzuri sana na foleni,wakati tupo kwenye foleni kuna gari kama latatu mbele yetu lilikuwa limezimika katikati...
nna demu wangu ambae tunapendana sana kwa hiyo kuhusu mapenzi kwetu hakuna tatizo kabisa.... Tatizo ni kwamba mi nimemzidi miaka minne (4), je wadau hilo sio tatizo kweli!? Maana wakati mwingine...
Huyu dada jamani aitwaye amu acheni tu, anatumia zaidi ya 1/3 ya usingizi wangu kumuota yeye. Lakini pia hata nikiwa kwenye foleni barabarani, nikipata upenyo huwa nafungua JF kuliona jina lake...
Wasichana wazuri wenye urembo wa kustaajabu wanatabia zifuatazo wawapo bado wanatesa kwa kuwateka wanaume/wavulana wengi.
1.wanaringa sana
2.wanachagua kupita kiasi(too selective)
3.wanajali...
Mara nyingi warembo wa kichaga wamekuwa wakinivutia zaidi,licha ya kuonywa kuwa wana matatizo kama kuiba kwa mme na kupeleka home kwao na ile tabia ali maarufu ya wamachame bado nimekuwa nawapenda...
Kuna mdada mmoja, anasema amependana na mkaka ambae ana mtoto japokuwa aliachana na mama wa mtoto kama miaka miwili iliyopita. anadai anaogopa kuendelea na huyo kaka kwa sababu anahic anaweza...
Ndugu wana jamvi naombeni kufahamishwa ni nn umuhimu wa kuzingatia kabila la mwenzi wako kabla ya kufanya maamumizi ya kuishi nae! Ntafurahi nikijua faida na hasara zake!
My dear friends i take this opportunity to invite you in my engagement day with my wife to be that will be held at Ubungo plaza hotel on 1 Sept 2013.About contributions i expect to send invitation...
Wana jamvi habarini za jioni poleni na mihangaiko ya kutwa nzima,ngoja niwaletee kisa cha kweli kilichowahi kinitokea mimi binafsi kuhusu kichwa cha habali hapo juu...
^^
Naomba msaada wa kimtazamo kutoka kwa yeyote waliopo kwenye ndoa,,au wanaotarajia kuingia katika taasisi hii,
Je,mwanamke ungefurahi iwapo ungemkuta mwanaume ana maendeleo au ungefurahi...
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifikia siku ya leo,siku ambayo naadhimisha miaka kadhaa toka kuzaliwa kwangu.
Shukrani za dhati kabisa natoa wazazi wangu walonileta duniani..nawapenda...
Yaani mpo kwenye mtoko bi shostito unambonji hivi kwa kujiachia mpaka udenda unakutoka hakika nakwambia ni hatari sana kwa uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wako, unaweza mkosesha hata hamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.