Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ni ukweli usiopingika kuwa ukiuliza watu wengi watasema wanampenda zaidi mama yao kuliko mtu mwingine yeyote. NANI KAMA MAMA?Wanaume kwa wanawake watajibu HAKUNA KAMA MAMA. upande mwingine wa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Hbr wana JF UTAFITI unaonyesha kuwa akina mama huwa wanatabia tofauti wakati wa uja uzito na mara baada ya kujifungua. tabia hizi hutegemea je, ni mimba ya kwanza, au ya pili au ya tatu Mimba...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Mm ni mvulana nina umri wa miaka 25. Natafuta mpenzi wa kike. Mm ni mweusi, mfupi kiasi na mwembamba kiasi. Nipo mkoa wa Kagela aliye tayari aweke contacts zake hapa. Au apige kupitia 0688135465
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari hii ni ya kweli, Jamaa mmoja jijini Mwanza alikutana na kisa hiki akapoteza maisha . Huyo jamaa alikuwa na dem wake akawa hamgongi kisawasawa kama ilivyokuwa mwanzoni, huyo dem akamtania...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Kama wewe ni mwanamke na uko tayari kwa ndoa ni pm.mimi nina miaka 38 nahitaji mke mrefu na awe mkristo asizidi miaka 38 kwa wanaoshi dar tu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za week end wadau, Jamani hivi mtu utajisikiaje unaambiwa na mpenzi wako muendelee tu kutumia condomu,Kuhusu kupima eti yeye hajajiandaa,kila siku,kama kupima pima wewe.... Cc:Wana MMU Wote...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
MAPENZI YA KUIBIA. mtoto wa kishua kanitoa OUT kwenda kula bata SEACLIF HOTEL kwa gharama zake. Tumefanya kila lililowezekana kufurahisha mioyo yetu,nime-enjoy ile mbaya to be at the amazing...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Za siku tele?... hope wote mko poa wapendwa, Katika pitapita yangu vichochoroni hata kwenye highway's nimegundua kuna watu wanaheshimiwa na kuogopwa kuliko hata maboss wa maofisini. Wa kwanza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
make up.. make up... hasa hasa kwa mabinti, nakubali vitu hivi vina umuhimu wake, na vina mvuto kwa wakaka au mmeo... Lakini ngoja ntoe angalizo si kila make up ina mfanya mdada awe mzuri au...
3 Reactions
64 Replies
11K Views
Kuna raha gani ya kutembea na married man?naona m2 anakuwa proud kabsa!ebu nambien jaman labda na mie nijirizshe.
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Nahitaji mke wa ndoa niko Dar.Awe ni mrefu mengine yanaongeleka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta mwanamke aliyetayari kwa ndoa mm nina miaka 38.Awe mrefu,mkristo kwa wanaokaa Dar tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Solved!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi kweli baba mzima una mke na watoto unaenda kumuharibia mtoto wa mwenzako maisha kweli? Tamaa gani mlizo nazo wababa? Nazungumza kwa uchungu kutokana na jamaa mmoja kukutwa na kanafunzi ka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums! Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa...
8 Reactions
306 Replies
23K Views
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo 1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa mwonekano ni wazuri ila....... Ukiwa naye hana flavour ya mwanamke kabisaaaa!!! Maongezi yake, mitazamo yake, uelewa wake,mapishi yake, usafi wa mwili na wandani, ukarimu negative...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya mumewe kuoa mke...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hili linakela sana!Wanawake wetu wengi wanadhalilisha uafrika. Hata kuvaa wigi it is not right. Kwa nini wasistiki na hali yao ya kuzaliwa? Mbaya zaidi wabunge/mawaziri wanawake wetu hawaonyeshi...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…